Hongera kwa Utafiti mzuri,kwa maoni yangu na kutokana na Uchunguzi mdogo niliofanya ni kuwa Jamii kubwa ya watua wenye asili ya Asia wana uraia pacha,wanatambulika na jamii zao mpaka hapo wanapoukana Uraia wa babu zao na kuukubali Utanzania,Mfano ni aliyeshindwa Kesi na Dr Warid Kabouru Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mahakama ilitengua Ubunge wa Premji kwa kuwa hakuwa ameukana Uraia wa India hii ilikuwa early 1992 na ikapelekea Dr Warid Kabouru kuingia BungeniWakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.