Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

Bunge na serikali ni mihimili miwili tofauti. Legeza fuvu hilo ili ujifunze usiyoyajua.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Doh.
Umesoma hata civics mkuu!?
What is Central government comprised of!?
Central government comprised of Judiciary,Legislature/parliament and executive.
Serikali kuu ina mihimili mitatu ambayo ni;
*Mahakama
*Bunge
*Ofisi ya Rais.

Kama hamna ujualo nyamaza mkuu.
Serikali haijatimia na kuitwa serikali kama haina bunge kwa muundo wa serikali ya Tanzania.
Bunge ni sehemu ya SERIKALI KUU YA TANZANIA.
 
Ulikokopi wamekuingiza chaka mzee. Hakuna kitu kinaitwa mihimili mitatu ya serikali kuu, kama ulifundishwa hivyo basi hela yako imeliwa bure. Kesho nenda kaidai pesa yako bablai, waambie nini mimi mkufunzi Chris Moris Mfukunyuzi nimekuagiza.

Waambie tuna mihimili mitatu ya dola, sio mihimili ya serikali kuu.
 
Aisee ni ngumu kushinda mjadala na mwerevu ila ni karibia haiwezekani kushinda mjadala na mpumbavu.
Maana atakuburuta katika upumbavu wake na akushinde.
Oya we jamaa nenda kacheze unapochezaga.
Siendekezi mijadala na wapuuzi.

Ila nikupe fundisho tu,dola is synonymous to serikali.
 
Kadai pesa yako kijana, acha kuleta ubishi uso na tija.
 
Hawa watu mara nyingi wana maeneo mijini hasa sehemu zenye potential ya kibiashara na wamerithi kutoka kwa mababu zao walio tukoloni

Awa sijui ndo waarabu siwaelewagi Mimi naona wanaishi kama wakimbizi tuliowapa hifazi ya kidumu
Naona mkimbizi atakuwa baba yako na mama yako waliotoka burundi wahindi na waarabu wapo tanzania kabla ya babu mzaa babu mzaa babu yako wa 5 angalia nyumba zao mjini imendikwa tarehe waliojenga 1902 nyerere hajazaliwa akaja akawazulumuna kuipa NHC hiyo laana inaitafuna tanzania mpaka kiama tutaendelea kuzurumiana kubaguana mpaka mwisho
 
Wakati tunapata uhuru tunapandisha bendera ya tanganyika askari wengi wa tanganyika walikuwa wahindi ndio kidogo kidogo wakaja wahamiaji kutoka malawi burundi rwanda zambia kenya uganda ni kujiita watanzania ndio kizazi hiki cha leo ubaguzi mtupu udini umeeajaa
 
Wenzetu wanawaandaa watoto wao kwa ajili ya kufanya biashara na si kuajiliwa.wamewekeza sana kwa jamii zao kufanya biashara na ajira kwa ni kama utumwa.sio kama hawasoma hapana wamesomesha sana ila tu ajira kwao si vipaumbele vyao.
 
Wenzetu wanawaandaa watoto wao kwa ajili ya kufanya biashara na si kuajiliwa.wamewekeza sana kwa jamii zao kufanya biashara na ajira kwa ni kama utumwa.sio kama hawasoma hapana wamesomesha sana ila tu ajira kwao si vipaumbele vyao.
Inawezekana maana biashara zao zinaenda kifamilia
 
Shabiby na Wabunge wengi kutoka Mikoa ya Morogoro,Shinyanga na Mwanza ni Waarabu.
Wako mle ili kulinda na kutetea biashara zao na kufanya uharifu.
 
Mkuu si kweli, katibu mtendaji baraza la mitihani ni Gabachori,pia Kuna mbuge wa kahama Jimbo la Solwa miaka ya tisini nikiwa huko alikuwa pure Gabachori,nadhani aliitwa Bhiku Lukindagila miaka hiyo nikiishi Segese- Kahama
Akina Alnool Kasim, Prof Shivji, shamimu Khan, Abood, Shabiby, nk huwajui?
 
Ndomana nikasema humu hiyo jamii wakipewa kitengo huwa wanakuwaga wachapakazi sana

Nakumbuka miaka hiyo tukiendaga kinondoni Road kwa divaz, alikuwa ghoa na ndy alikuwa mkuu wa traffic police tz
Ukimuona tu unajua mtu wa kazi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…