Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Unadhani miaka 10 ya Kambona huku Nyerere akimkemea angeweza kuleta mabadiliko uwazayo? Je Kambona angemuandaa mrithi mzuri wa kuendeleza sera zake au Nyerere angeweka ampendaye?Tungekuwa mbali Mara 1000 ya tulipo sasa,washindani wetu wangekuwa South Afrika na Misri.hawa Kenya wangetusikia kwenye vipaza sauti.
Sera za Nyerere zimesababisha Tanzaniakuwa nyuma kwa hatua 10000 kuliko ambapo tulitakiwa kuwa.
Angemweka kando na kubadilisha mfumo Kama alivyofanya Mwinyi.Unadhani miaka 10 ya Kambona huku Nyerere akimkemea angeweza kuleta mabadiliko uwazayo? Je Kambona abgemuandaa murithi mzuri wa kuendeleza sera zake au Nyerere angeweka ampendaye?
Ila Mr 2 au mzee Sugu na Lema wangekuwa mawaziri wakuu.Magufuli asingekua rais...hata ubunge angeuskia kwenye bomba. Vile vichwa havikupenda watu mbumbumbu...walikua ni intellectuals tupu. Tulianza kukosea kwa Mzee Ruksa.
Nawazaga Sana hili jamboAngemweka kando na kubadilisha mfumo Kama alivyofanya Mwinyi.
Makongoro yupi??Kambona hasingekuwa na Cha ajabu pia, nawaambia mfumo wetu wa Uongozi kuna sehem unapaswa kutazamwa,
Leo hii tulimuamini Magufuli, Kumbe naye ni yale yale, anashirikiana na Makongoro kwenye Upigaji, hamjiulizi Kwanini Jamaa nimemgeuka gafla, Mpigaji balaa
Sera za Nyerere wala hazikuwa mbaya. Wabaya ni sisi wananchi tuliokuwa wasimamizi wa yote waliyoanzishwa. Nyerere alijitahidi sana sana Tanzania ipige hatua. Alianzisha viwanda vingi. Ila usimamizi ulikuwa mbovu. Alitujengea umoja wa kitaifa. Nadiriki kusema pengine tungekuwa na rais mwingine badala ya Nyerere basi nchi yetu isingekuwa tulivu kama ilivyo. Imagine angekuwa na Magufuli kipindi hicho. Tungekuwa sawa na Kongo ya Mobutu sasa hivi.Tungekuwa mbali Mara 1000 ya tulipo sasa,washindani wetu wangekuwa South Afrika na Misri.hawa Kenya wangetusikia kwenye vipaza sauti.
Sera za Nyerere zimesababisha Tanzaniakuwa nyuma kwa hatua 10000 kuliko ambapo tulitakiwa kuwa.
NyerereMakongoro yupi??
Wadau wa JF habari zenu.
Leo nimewaza hivi ikiwa Mwl Nyerere angestastaafu Urais mwaka 1971 kwa kufuata mihula miwili na baadae kufuatiwa na Oscar Kambona ambaye naye angestastaafu mwaka 1981, nchi hii ingekuwaje? Mfano kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni, kidiplomasia nk.
Natanguliza shukurani kwa maoni yenye tija ya kimtizamo ikizingatiwa ni jambo nadharia ambalo halikuwahi kutokea.
We ni nani hapa nchini? Sidhani kama kuna anaejiuliza we kumgeuka. Hauna impact yoyotehamjiulizi Kwanini Jamaa nimemgeuka gafla
Mkapa (RIP) alikua kichwa lakini ubinafsi na uroho wa mali vilimharibia sifa.Magufuli asingekua rais...hata ubunge angeuskia kwenye bomba. Vile vichwa havikupenda watu mbumbumbu...walikua ni intellectuals tupu. Tulianza kukosea kwa Mzee Ruksa.