Nini kingetokea kama Mwl. Nyerere angestaafu Urais mwaka 1971 na Oscar Kambona kuvaa viatu vyake hadi mwaka 1981?

Nini kingetokea kama Mwl. Nyerere angestaafu Urais mwaka 1971 na Oscar Kambona kuvaa viatu vyake hadi mwaka 1981?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Wadau wa JF habari zenu.

Leo nimewaza hivi ikiwa Mwl Nyerere angestastaafu Urais mwaka 1971 kwa kufuata mihula miwili na baadae kufuatiwa na Oscar Kambona ambaye naye angestastaafu mwaka 1981, nchi hii ingekuwaje? Mfano kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni, kidiplomasia nk.

Natanguliza shukurani kwa maoni yenye tija ya kimtizamo ikizingatiwa ni jambo nadharia ambalo halikuwahi kutokea.

NB: Tuseme Nyerere hawakuhitilafiana na Kambona 1969 kisa ujamaa. Tuchukulie wangeendelea kuvumiliana hadi 1971 na kutokana na ushawishi wake Kambona akaachiwa mikoba.
 
Tungekuwa mbali Mara 1000 ya tulipo sasa, washindani wetu wangekuwa South Afrika na Misri. Hawa Kenya wangetusikia kwenye vipaza sauti.

Sera za Nyerere zimesababisha Tanzania kuwa nyuma kwa hatua 10000 kuliko ambapo tulitakiwa kuwa.
 
Tungekuwa mbali Mara 1000 ya tulipo sasa,washindani wetu wangekuwa South Afrika na Misri.hawa Kenya wangetusikia kwenye vipaza sauti.

Sera za Nyerere zimesababisha Tanzaniakuwa nyuma kwa hatua 10000 kuliko ambapo tulitakiwa kuwa.
Unadhani miaka 10 ya Kambona huku Nyerere akimkemea angeweza kuleta mabadiliko uwazayo? Je Kambona angemuandaa mrithi mzuri wa kuendeleza sera zake au Nyerere angeweka ampendaye?
 
Kambona asingekuwa na Cha ajabu pia, nawaambia mfumo wetu wa Uongozi kuna sehemu unapaswa kutazamwa,
Leo hii tulimuamini Magufuli, Kumbe naye ni yale yale, anashirikiana na Makongoro kwenye Upigaji, hamjiulizi Kwanini Jamaa nimemgeuka ghafla, Mpigaji balaa
 
Kambona hasingekuwa na Cha ajabu pia, nawaambia mfumo wetu wa Uongozi kuna sehem unapaswa kutazamwa,
Leo hii tulimuamini Magufuli, Kumbe naye ni yale yale, anashirikiana na Makongoro kwenye Upigaji, hamjiulizi Kwanini Jamaa nimemgeuka gafla, Mpigaji balaa
Makongoro yupi??
 
Tungekuwa mbali Mara 1000 ya tulipo sasa,washindani wetu wangekuwa South Afrika na Misri.hawa Kenya wangetusikia kwenye vipaza sauti.

Sera za Nyerere zimesababisha Tanzaniakuwa nyuma kwa hatua 10000 kuliko ambapo tulitakiwa kuwa.
Sera za Nyerere wala hazikuwa mbaya. Wabaya ni sisi wananchi tuliokuwa wasimamizi wa yote waliyoanzishwa. Nyerere alijitahidi sana sana Tanzania ipige hatua. Alianzisha viwanda vingi. Ila usimamizi ulikuwa mbovu. Alitujengea umoja wa kitaifa. Nadiriki kusema pengine tungekuwa na rais mwingine badala ya Nyerere basi nchi yetu isingekuwa tulivu kama ilivyo. Imagine angekuwa na Magufuli kipindi hicho. Tungekuwa sawa na Kongo ya Mobutu sasa hivi.
 
Wadau wa JF habari zenu.

Leo nimewaza hivi ikiwa Mwl Nyerere angestastaafu Urais mwaka 1971 kwa kufuata mihula miwili na baadae kufuatiwa na Oscar Kambona ambaye naye angestastaafu mwaka 1981, nchi hii ingekuwaje? Mfano kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni, kidiplomasia nk.

Natanguliza shukurani kwa maoni yenye tija ya kimtizamo ikizingatiwa ni jambo nadharia ambalo halikuwahi kutokea.

Labda tungetumia ile mashine ya time travel.ingetusaidia ili tungeweza kutumia lisu tunge mpa ingekuwaje na chama chake
 
Back
Top Bottom