Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Wadau wa JF habari zenu.
Leo nimewaza hivi ikiwa Mwl Nyerere angestastaafu Urais mwaka 1971 kwa kufuata mihula miwili na baadae kufuatiwa na Oscar Kambona ambaye naye angestastaafu mwaka 1981, nchi hii ingekuwaje? Mfano kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni, kidiplomasia nk.
Natanguliza shukurani kwa maoni yenye tija ya kimtizamo ikizingatiwa ni jambo nadharia ambalo halikuwahi kutokea.
NB: Tuseme Nyerere hawakuhitilafiana na Kambona 1969 kisa ujamaa. Tuchukulie wangeendelea kuvumiliana hadi 1971 na kutokana na ushawishi wake Kambona akaachiwa mikoba.