Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

Magufuli akasema kama mwanaume kweli utabaki Dar. Wanaume tumekomaa naye humu humu, wanawake na wanaume wa uongo wakakimbilia mikoani huko.

Sasa Rais mwenyewe kashadeclare wanaume watabaki wapi wewe na hotspot yako ya kijiji inayowashwa kwa dakika nne nne unataka kusema nini?
 
Salama ni Tom boy,wapo mabaharia wa kuwapa mimba matom boy sema ni wachache sana.
Kuhusu Dada Comando labda tumuulize vizuri kakamkuu captain G atakuwa na majibu mubashara kwasababu katifua sana nyama.
 
Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??

Uzi tayari.
Kwani shida ipo wapi? Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi, kwani kuna sheria inayolazimisha kuwa ni lazima ukifikisha miaka 40 uwe na mtoto/watoto?
 
Meko mwenyewe kahamia Dom, Dar imemshinda. Aje atamke kuwa naye si mwanaume, wenye jiji lao walimwambia umetukuta na utatuacha hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…