BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata.
Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya Serikali kuwa wadau walishiriki na walikubali mkataba huo.
Kwanini kuna siri sana kwenye kukubaliana na hii kampuni ya DP World? Mbona Mkuu wa nchi haongelei hili jambo? Bunge nalo linapokea maoni kwa haraka kuna nini hapa? wanakwepa nini?
Pia soma: Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam