Nini kipo nyuma ya Mkataba wa miaka 100 ya ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World?

Hii taarifa inapotoshwa kwa makusudi, kinachobinafsishwa ni kitengo cha kontena gati namba 5 mpaka 7. Kwa miaka thelathini kilikuwa chini TiCTS. Na sio Bandari yote.

TICTS mkataba haujaendelezwandio hao DP wanaingia.
Ni sawa nakusema umpe mwanaume mwenzio mamlaka ya kumuhudumia mkeo na watoto wako afu wewe utatekeleza majukumu mengine.Kwann serikali isiendeleze Kisha ikapa faida maradufu.!?
 
CCM na wanasiasa wake ni malaya malaya
 
Hii taarifa inapotoshwa kwa makusudi, kinachobinafsishwa ni kitengo cha kontena gati namba 5 mpaka 7. Kwa miaka thelathini kilikuwa chini TiCTS. Na sio Bandari yote.

TICTS mkataba haujaendelezwandio hao DP wanaingia.
Weka wewe kidichopotoshwa full documents tuzione mboni mnazifichaficha mnataka kupiga Nini, unakumbuka bagamoyo ?
 
Jamani Naomba muangalie Vizuri huo Mkataba..!

Hawajaongeza Sifuri Kweli ?

Badala ya miaka 10, Wameweka 100? Maana UsiFanye Mchezo Miaka 100...ni Vizazi Vitatu hapo..! Wengi wetu Hapa itakuwa Mungu Kashatupenda Zaidi..!
 
Trilioni 12 ni fedha nyingi sana kwa mwaka, inakaribia nusu ya bajeti ya nchi, kumbe hii nchi kuna kikundi cha wezi wachache wanatuibia na wanajulikana ila utawafanya nini wana kinga.
 
Heshima yako Mkuu Maxence Melo

Naomba unisaidie nakala ya mkataba wa DP world na Serikali ya jamhuli ya muungano wa Tanzania. Maana mpaka muda huu siijapata bado na nashindwa kuchangia chochote kwenye mijadala hii inayoendelea humu ndani ya mtandao pendwa na Jamii forums na hata nje ya jamii forums.

Nimefanya jitihada za dhati kuomba kwa members wenzangu humu ikiwemo FaizaFoxy ila mpaka sasa bado sijapata mafanikio. Yote ni kwa sababu sitaki kuwa mlopo kwa kuchangia nilocho ambiwa au kusikia. I want information from the horse's mouth.

Natumai ombi langu litashughulikiwa

Wako mtiifu

Sa 7 mchana

UPDATEs: Nimepata mzigo huu hapa
.View attachment 2661040
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…