isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Vizuri! Je, unafikiri ni aina ya gani ya tabia, matendo au mienendo ya viongozi hawa imekuwa chagizo la watu kuwakwepa?Viongozi wa dini nao wamekua wa ovyo siku hizi, mtu anajionea aishi tu maisha yake stress free
Unamaanisha dini ni sehemu ya watu wasiokuwa na uwezo wa reasoning? Ni yapi ambayo yamefichwa kwa watu wasiokuwa na uwezo huo?Makanisani siyo sehemu tena ya kupata faraja. Ila pia watu wengi wamekuwa wanareason kila kitu tofauti na zamani watu walikuwa na reasoning power ndogo so wanaona inayoendelea kule ni miyeyusho miyeyusho tu.
Nimekuelewa Kwa uzuri, mfano wa mikanganyiko hiyo ni utengano na madaraja kwa binadamu. Unaweza kuongeza mikanganyiko mingine tuweze kujifunza?Dini zipo kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo kufikiri!!!!Lakini kama utafikiri kwa makini utaona mkanganyiko na mianya mingi yenye utata kwenye hizo zinazoitwa Dini!!
UVIKO-19 ndio sababu ya watu kuacha kuhudhuria kanisani?Ushawishi umepungua maaana watu haweindi kanisani kwasbb ya uviko 19
Binafsi yalivyonipata nilimtafuta Mungu. Nimeleta hoja hii baada ya kuona ushawishi umepungua kwa walio wengi.Yakikupata utaitafuta dini.
Mfano wewe hapo uishi miaka 70 halafu eti umetenda dhambi ukachomwe moto milele yaani hakuna mwisho wa kuchomwa wakati wewe umejiishia miaka 70!Nimekulewa Kwa uzuri, mfano wa mikanganyiko hiyo ni utengano na madaraja kwa binadamu. Unaweza kuongeza mikanganyiko mingine tuweze kujifunza?
Dini ililetwa na mzungu, kwanini mpaka leo bado kuna watu hawajielewi wakati walioleta dini kwa asilimia kubwa wameisha itupa kuleHabari ππΎ
Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.
Upagani ni jina la kutaja imani za dini ambazo ama zinaabudu miungu mingi au ni dini za jadi.Upagani ni dini.
Hakika Mungu pekee ndiye wa kusaidia.Mungu atusaidie