Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Sasa kamba zangu ziko wapi?
 

Kwahyo unaendelea kutushawish kuwa chini ya watu weupe?
 
Dini ni miiko iliyo katika mstari wa mema nje ya hapo ni utamaduni tu.
 
Dini ni miiko iliyo katika mstari wa mema nje ya hapo ni utamaduni tu.
 
Dini zetu hz, tumepigwa tu.

Binafsi nlikuwa mtu wa dini sana, miaka kadhaa ilopita lkn tabia yangu ya kuyadadisi mambo kwa kina iliniponza.

Habari za mfalme Suleiman ktk biblia ndo zilinitoa ktk imani
 
People have changed, we were told by the missionaries that " you believe in order to understand" nowadays, ":you understand in order to believe" reason out first before you believe.
 
Yakikukuta mambo gani hayo?

Kwahiyo unamaanisha unaamini dini sababu ya uoga wa maisha?
Kutokuwa na dini wewe ni bora ukae kimya halafu tungekujua vizuri kabisa ili ukifa tushuhudie unazikwaje???!!
 
Kutokuwa na dini wewe ni bora ukae kimya halafu tungekujua vizuri kabisa ili ukifa tushuhudie unazikwaje???!!
Wewe utakufa kabla yangu hivyo usihangaike kunijua au lini nitakufa.

Na kwani kuzikwa ni nini zaidi ya kuchimbiwa shimo na kufukiwa?
Na anayezikwa kidini kwa kuombewa anatofauti gani na aliyechimbiwa shimo na kufukiwa?
 
 
Acha kutukana watu HAKUNA mtu asiye na dini
 
Aliyesema kama huna dini ukifa utazikwaje! Kwani wazee wetu kabla ya hizi tamaduni za kizungu (dini) walizikwaje ? Tena walizikwa kwa heshima kubwa ya kimila? Mimi naomba nizikwe kimila pasipo utamaduni wa kiarabu au kizungu. Ni mapokeo tuliyopokea bila kuhoji!
 
Makanisani siyo sehemu tena ya kupata faraja. Ila pia watu wengi wamekuwa wanareason kila kitu tofauti na zamani watu walikuwa na reasoning power ndogo so wanaona inayoendelea kule ni miyeyusho miyeyusho tu.
[emoji16][emoji38]
 
Fikiria " Mungu kaandaa moto wa kuchoma watu wake" kwa akili ndogo unakubali! Wewe pambana na maisha yako , ukifa ndio siku ya kujua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…