Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Acha kutufunga kamba na wewe bwana. Waislam huko china ni chini ya 1% na wakristo ni 2% ya population nzima. Ina mqana ukiwajumlisha wote ni around 3% ya population nzima. Hao 97% hawaabudu hizo dini. Na hata hao 3% wengi ni raia wa nchi nyingine wanaoishi China au wahamiaji. View attachment 1987087
Sasa kamba zangu ziko wapi?
 
Habari [emoji1480]

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?

Kwahyo unaendelea kutushawish kuwa chini ya watu weupe?
 
Dini ni miiko iliyo katika mstari wa mema nje ya hapo ni utamaduni tu.
 
Dini ni miiko iliyo katika mstari wa mema nje ya hapo ni utamaduni tu.
 
Dini zetu hz, tumepigwa tu.

Binafsi nlikuwa mtu wa dini sana, miaka kadhaa ilopita lkn tabia yangu ya kuyadadisi mambo kwa kina iliniponza.

Habari za mfalme Suleiman ktk biblia ndo zilinitoa ktk imani
 
People have changed, we were told by the missionaries that " you believe in order to understand" nowadays, ":you understand in order to believe" reason out first before you believe.
 
Yakikukuta mambo gani hayo?

Kwahiyo unamaanisha unaamini dini sababu ya uoga wa maisha?
Kutokuwa na dini wewe ni bora ukae kimya halafu tungekujua vizuri kabisa ili ukifa tushuhudie unazikwaje???!!
 
Kutokuwa na dini wewe ni bora ukae kimya halafu tungekujua vizuri kabisa ili ukifa tushuhudie unazikwaje???!!
Wewe utakufa kabla yangu hivyo usihangaike kunijua au lini nitakufa.

Na kwani kuzikwa ni nini zaidi ya kuchimbiwa shimo na kufukiwa?
Na anayezikwa kidini kwa kuombewa anatofauti gani na aliyechimbiwa shimo na kufukiwa?
 
Wewe utakufa kabla yangu hivyo usihangaike kunijua au lini nitakufa.

Na kwani kuzikwa ni nini zaidi ya kuchimbiwa shimo na kufukiwa?
Na anayezikwa kidini kwa kuombewa anatofauti gani na aliyechimbiwa shimo na kufukiwa

Yetu macho tatizo hujulikani
 
Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Acha kutukana watu HAKUNA mtu asiye na dini
 
Aliyesema kama huna dini ukifa utazikwaje! Kwani wazee wetu kabla ya hizi tamaduni za kizungu (dini) walizikwaje ? Tena walizikwa kwa heshima kubwa ya kimila? Mimi naomba nizikwe kimila pasipo utamaduni wa kiarabu au kizungu. Ni mapokeo tuliyopokea bila kuhoji!
 
Makanisani siyo sehemu tena ya kupata faraja. Ila pia watu wengi wamekuwa wanareason kila kitu tofauti na zamani watu walikuwa na reasoning power ndogo so wanaona inayoendelea kule ni miyeyusho miyeyusho tu.
[emoji16][emoji38]
 
Fikiria " Mungu kaandaa moto wa kuchoma watu wake" kwa akili ndogo unakubali! Wewe pambana na maisha yako , ukifa ndio siku ya kujua ukweli.
 
Back
Top Bottom