isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
- Thread starter
-
- #41
Ahaa! Kwa maana hii dini ni vyama vinavyojiendesha katika njia tofauti na vyama vya siasa au waweza sema ni kundi na kusanyiko la watu?Kama kwa wakatoliki unasikia kila siku mapadre wanalawiti watoto,, makanisa yamekua sehemu ya kulazimishana michango kila siku huku waumini wenyewe maisha ya kuungaunga yaani mtu unaweza kukataliwa kupewa huduma za kiroho kisa tu hujawapa visenti.........kizazi cha sasa watu wanafikiri sio kama zamani watu wanapelekeshwa tu
Ukishaamini katika MUNGU tayari una dini, usipoamini tayari wewe ni muumini wa upagani na upagani nao ni dini. Acha porojo na tafsiri zako za google.Ndio Maana nimekuletea maana ya upagani! Unatakiwa kutofauti DINI na MUNGU kuna MUNGU na kuna DINI kwa muktadha wako bado hujawa na uwezo wa reasoning ndio maana unashindwa kutofautisha MUNGU na DINI.
Si kila asiye katika dini haamini uwepo wa MUNGU.
Kuna mambo hapa umegongelea misumari mithili ya ile ya Bethlehem! Hivi ni mimi tu ninayeona maskini, wasiojiweza, wanafiki, wanaozaa hovyo hovyo na watu wanaoishi tu kwa asilimia 95 ni walioloea katika dini?Ni baada ya watu wengi kuziona dini kukosa mvuto na msaada ktk struggle zao nyingi. Pale ambapo watu wanakuwa oppresed na watawala na makanisa yanakaa kimya watu wanakosa majibu.
Kukithiri kwa umasikini,njaa,machaguko majanga ya asili vyote hivi vonawafanya watu wakose majibu juu ya dini. Dini imefundisha watu kuwa wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu,sasa haiingik akilini mwa wengi kuiamini dini Kama kweli masikini na wenye kutaabika wengi ndo taswira halisi ya Mungu huyo anayeubiliwa na dini ilhali wahubiri wa hayo wenyewe wanaishi maisha ya anasa.
Tukubali wengi tutakombolewa kwa neema.
Oh! KumbeUkishaamini katika MUNGU tayari una dini. Acha porojo na tafsiri zako za google.
Unamaanisha dini ni urithi na sio consent ya mhusika kuwa katika hiyo dini! Ni nini kifanyike uwepo mfumo wa idhini ya mhusika?Wanakua na taratibu za maisha wanazo zijua wao wenyewe hii inatokana na wazazi/walezi kutowarithisha dini zao
Huyo mungu unayemwamini huwa unafanya ibada ya kumuomba?Oh! Kumbe
Dini yangu ni ipi katika jina moja maana naamini katika Mungu lakini sifahamu dini yangu? 🤔
Aisee! Kumbe yapo mengi yamejificha nyuma ya hizi dini?Nimesoma chuo kinachofundisha uchungaji (Theology).
1. Wachungaji tulikua tunagombania nao mademu wa chuo.
2. Wachungaji wanagonga vitoto vya certificate.
3. Wachungaji wanaomba video za porn
4. Mama wachungaji tunawala vizurii
5. Mashekhe hawaeleweki
6. Padre kafumaniwa na mchumba wa mtu.
Wotee Hawa NDIO UNAENDA WASIMAME MADHABAHUNI KUKUHUBIRIA..!!!???
#YNWA
Kuna mshikaji wangu alikua aoe mwaka 2016 ila alimfumania mchumba wake na padre.Aisee! Kumbe yapo mengi yamejificha nyuma ya hizi dini?
Huyo mungu unayemwamini huwa unafanya ibada ya kumuomba?
kama ndio basi hapo unapomuomba ndo kanisani kwako hata kama ni chumbani.
Wewe ni muumini na tendo la maombi ni la kidini, kiimani na ibada.
Jina la dini yako linaweza kuwa lolote hata ngariba church ni sawa tu, utakavyopenda wewe.
Ah! Kiongozi haya maneno ni mazito sana kwangu! By the way unaweza kuruhusiwa kutoa shuhuda hizi katika hizo dini waumini wakiwepo?Kuna mshikaji wangu alikua aoe mwaka 2016 ila alimfumania mchumba wake na padre.
Nilishawahi share demu na mchungaji mkubwa sanaa Dar, nikitaja kanisa lake HAKUNA MKAZI WA DAR ASIYELIJUA.
Ila tulikua tunakula mbunye moja na ana mke..!!!
#YNWA
Unamuongelea mungu yupi sasa? Huyo wa kwako au yupi? Maana wapo wengi na kila anayeamini wa kwake anasema ni mkuu.Binafsi nadhani nafanya Ibada lakini siwezi kufahamu kama namuomba maana naamini Mungu huyu mkuu anafahamu wajibu wake.
Asilimia kubwa ya watu huwa wamerithi dini kutoka kwa wazazi wao ukitaka kugundua hili tazama mtafaruku kwa mtoto mwenye wazazi wenye dini mbili tofautiUnamaanisha dini ni urithi na sio consent ya mhusika kuwa katika hiyo dini! Ni nini kifanyike uwepo mfumo wa idhini ya mhusika?
Achanao nao, viungo vya uzazi ni vyao.Ah! Kiongozi haya maneno ni mazito sana kwangu! By the way unaweza kuruhusiwa kutoa shuhuda hizi katika hizo dini waumini wakiwepo?
Ahaa! Ndio maana nirudi kusema hujawa na uwezo wa reasoning! Fahamu kutofautisha MUNGU na DINI! Kuna MUNGU na DINI.unamuongelea mungu yupi sasa? Huyo wa kwako au yupi? Maana wapo wengi na kila anayeamini wa kwake anasema ni mkuu.
Hakika, kuna jambo hapa.Asilimia kubwa ya watu huwa wamerithi dini kutoka kwa wazazi wao ukitaka kugundua hili tazama mtafaruku kwa mtoto mwenye wazazi wenye dini mbili tofauti