Kama unabisha jenga hoja kwangu kisha uone akili zangu na zako kama ziko sawa.Dah bro unajifariji.. wafuata dini wengi ni vilaza.. mnakimbilia miujiza mnafanyiwa mambo ya ajabu na mmefungwa akili na viongoz wenu. Mnahustle sana mazee
Uendeshaji wa ibada ndio kazi yao
Unajua mimi ni wa dini gani ? Mimi ni Muislamu,hilo jengo jengo gani ?Mbinga Namba Moja ni wewe unayeamini Mungu yumo mule kwenye jengo.
Kiimani unaposema kanuni ni zile ambazo Mungu mwenyewe amejiwekea za kutaka kumjua yeye na taratibu ni zile ambazo Mwanadamu amejiwekea kutaka kumjua Mungu.Ndipo tatizo la haya maneno mawili yanapomvuruga mwanadamu.Kijana acha ujinga,hakuna utofauti wa kanuni na utaratibu popote pale.
Imani inatofautisha kati ya kanuni na taratibu...?
Kusema kanuni za kumjua Mungu ni sawa na taratibu za kumjua Mungu hakuna tofauti hapo.
Ndani ya Surat Al Baqala aya ya 6 - "Hakika walio kufuru ni sawa juu yao uwaonye au usiwaonye kamwe hawato amini"Kama unabisha jenga hoja kwangu kisha uone akili zangu na zako kama ziko sawa.
Pili,hakuna watu wajinga kuwazidi wakana Mungu yaani ukitaka kujua maana ya Ujinga waangalie wakana Mungu.
Tatu,suala la miujiza liko wazi hili lipo kwa watu wa dini fulani sisi Waislamu mambo hayo hatuna,kwahiyo kwa ujumla tunakuta Wajinga wengi wapo nje ya Dini kuliko walioko kwenye Dini. Ila kuhusu wenye akili kwa ujumla hakuna wakuwazidi watu wa Dini.
Haya unayasema wewe ila hakuna kwenye kitabu chochote kinacho tofautisha maneno haya,hata wanadamu wana kanuni na taratibu zao. Jifunzeni maana na matumizi sahihi ya maneno.Kiimani unaposema kanuni ni zile ambazo Mungu mwenyewe amejiwekea za kutaka kumjua yeye na taratibu ni zile ambazo Mwanadamu amejiwekea kutaka kumjua Mungu.Ndipo tatizo la haya maneno mawili yanapomvuruga mwanadamu.
Hiyo hiyo mizimi ndio Mila zetu na ilikuwa inasaidiaNeno Mungu limekuja na biblia. Kabla ya biblia hatukuwa na miungu bali mizimu. Kulikuwa na mizimu ya kuponya magonjwa,kuleta mvua penye uhitaji,kuleta neema wakati wa shida,kuleta uzazi kwa wenye shida. Kila kitu kiliwezekana kupitia mizimu.
Wazungu wakarekebisha jina la mizimu na kuliweka jina la mungu ila majukumu yakawa yale yale ya mizimu.
Unajua mimi ni wa dini gani ? Mimi ni Muislamu,hilo jengo jengo gani ?
Mimi naamini Mola wangu aliyeumba mbingu na ardhi yuko mbingu ya saba amestawi juu ya Arshi yake katika kiti chake cha enzi.
Sasa jenga hoja kutokana na Imani yangu hiyo.
Umefanya Jambo jema kuiweka wazi Imani yako pamoja na Yusco dagama.Hakika hatutaelewana.Naishia hapa.Ndani ya Surat Al Baqala aya ya 6 - "Hakika walio kufuru ni sawa juu yao uwaonye au usiwaonye kamwe hawato amini"
Ni yupi huyo wa mwanzo (kama usemavyo wewe)Ilikuaje waarabu Mungu wao, Na wazungu Mungu wao, Kwani tangu hapo mwanzo ni Mungu yupi alikuwa anahubiriwa. Huyo Mungu wa mwanzo ndie. Hawa waliokuja baadae ni wapigaji tu.
[emoji16][emoji16][emoji16] yote kwa yote tufanye yaliyo mema maisha ya dunia ni mafupi sana [emoji120]Umefanya Jambo jema kuiweka wazi Imani yako pamoja na Yusco dagama.Hakika hatutaelewana.Naishia hapa.
Mkuu nafikiri unachanganya kati ya Atheism na Paganism. Mtu asiyeamini katika Mungu wala Dini ni Atheist na mtu asiyeamini katika Dini ila anaamini katika Mungu na Asili ni Pagan.Huyo mungu unayemwamini huwa unafanya ibada ya kumuomba?
kama ndio basi hapo unapomuomba ndo kanisani kwako hata kama ni chumbani.
Wewe ni muumini na tendo la maombi ni la kidini, kiimani na ibada.
Jina la dini yako linaweza kuwa lolote hata ngariba church ni sawa tu, utakavyopenda wewe.
Nafikiri huyu wa mwanzo ndiyo mizimu ya mababu zetu wa kale. Turudi tulikotoka.Ni yupi huyo wa mwanzo (kama usemavyo wewe)
Mzimu ni kitu kulichokufa hakijiwezi kwa lolote vipi kiweze kumsaidia aliye hai... ?Nafikiri huyu wa mwanzo ndiyo mizimu ya mababu zetu wa kale. Turudi tulikotoka.
Nakuelewa boss.Mkuu nafikiri unachanganya kati ya Atheism na Paganism. Mtu asiyeamini katika Mungu wala Dini ni Atheist na mtu asiyeamini katika Dini ila anaamini katika Mungu na Asili ni Pagan.
Mpagani yeye anaamini Mungu yupo ila hafungamani na Dini yoyote ile hapa duniani. Yeye anaamini Mungu hana Dini na kwamba hizi sheria za Dini hazikuwekwa na Mungu bali watu.
Kitu kilichokufa kikafufuka kiroho na kiimani....Mzimu ni kitu kulichokufa hakijiwezi kwa lolote vipi kiweze kumsaidia aliye hai... ?
Hapo ndio nakosaga jibu la swali, dini ya kweli ni ipi?Unamaanisha dini ni urithi na sio consent ya mhusika kuwa katika hiyo dini! Ni nini kifanyike uwepo mfumo wa idhini ya mhusika?
Hakika! Zimeleta utengano na mgongano baina ya watu wa jamii moja.Hapo ndio nakosaga jibu la swali, dini ya kweli ni ipi?
Mkiristo anajibu ukiristo ,muislam anajibu uislam kadhalika na dini nyingine, na kwa maandiko pia ya dini husika yametuasa bila kufuata mafundisho ya aliekuwa nabii wa dini husika huwezi kuiona Pepo/Mungu, ukichukulia ya kwamba mafunzo Yao yamekinzana kwenye baadhi ya Mambo(njia ya kwenda kwa Mungu).
Hapo sasa dini zenyewe tumerithi, kwa iyo walozaliwa upande wa uongo Mungu atawasamehe Tu sababu ukizaliwa na mkiristo hawezi kukupeleka madrasa ufunzwe dini vivyo hivyo kwa muislam hawezi peleka mwanae Sunday school akafunzwe dini tofauti na hapo hukumu NI ya wazazi wetu.
KUJIULIZA/KUULIZA SIO UJINGA KWA JAMBO AMBALO HUJAFUNULIWA BALI NI KUTAKA KUJUA.
DINI KWA KIASI ZIMETUWEKEA KIKWAZO KWA NENO (kukufuru /Yasiyofunuliwa tuyaache)