Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Mimi ninaamini Mungu yupo, ila hizi njia za binadamu za kuabudu ndio sizikubali,zina uongo mwingi.

Kuna Nabii aliwahi kudai kuwa ameupasua Mwezi vipande viwili kitu ambacho ni hakiwezekani.
 
Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Baada ya kuona ukweli kwamba wazungu walituingiza Chaka, Bible mkono wa kushoto bunduki mkono wa kulia, mambo wanayofanya wazungu, waharabu ambayo ni kinyume na utaratibu the a Maisha ya Binadamu kunawafanya watu weusi walisiamini dini za watu weupe, kama ushoga, wizi, mauwaji yanayoendelea duniani, uporaji wa rasilimali toka kwa wanyonge kwenda kwa wenye nguvu, kama USA wanayofanya kwa nchi zingine, mambo kadha wa kadha. Omba tu miungu za. Babu zako Kama wahindi,wachina wajapani wanayofanya.
 
Kuna jambo hapa, kushoto kitabu kulia bunduki. 🤔
 
Mfano wewe hapo uishi miaka 70 halafu eti umetenda dhambi ukachomwe moto milele yaani hakuna mwisho wa kuchomwa wakati wewe umejiishia miaka 70!!

Wakati huo huo atakaekuchoma huo moto anahubiriwe ndie Mwenye upendo mkubwa kuliko viumbe vyote!!!

Halafu akamuumba malaika mmoja mkuu halafu huyo akafanywa kuwa shetani atudanganye sisi ili tukachomwe moto!! HEBU FIKIRIA KWA MAKINI KAMA ITAKUINGIA AKILINI AISEH!!
Kuna gaps nyingi kwenye hizo taarifa zako, hujapata taarifa kamili kukusaidia kujudge na kuamua juu ya jambo hili vema, wote hatujui lakini maandiko ya biblia takatifu yalimnukuu YESU mwenyewe akisema
" MWAPOTEA KWA KUWA HAMYAJUI MAANDIKO. WALA UWEZA WA MUNGU"

Tatizo ndio lilipo hapo mkuu, hatujifunzi maandiko wenyewe , kama tunavyotakiwa kufanya tunadhani kumsikiliza muhubiri ibadani inatosha kuelewa mambo haya vizuri,

No research , no right to speak.
 
Very good! No research, no right to speak.

Joshua maandiko haya yaliandikwa na nani, lini na wapi? Ningependa pia kufahamu maandiko matakatifu na yasiyo matakatifu yanakuwaje!
 
Mfano wewe hapo uishi miaka 70 halafu eti umetenda dhambi ukachomwe moto milele yaani hakuna mwisho wa kuchomwa wakati wewe umejiishia miaka 70!!

Wakati huo huo atakaekuchoma huo moto anahubiriwe ndie Mwenye upendo mkubwa kuliko viumbe vyote!!!

Halafu akamuumba malaika mmoja mkuu halafu huyo akafanywa kuwa shetani atudanganye sisi ili tukachomwe moto!! HEBU FIKIRIA KWA MAKINI KAMA ITAKUINGIA AKILINI AISEH!!
Ikuingie akilini au isikuingie habari ndo hiyo. Mungu tumuelewe au tusimuelewe atabaki kuwa Mungu.

Ukiishi hovyo miaka 70 hukumu ya moto ni ya milele lakini usisahau kuwa ukiishi vyema pia miaka 70 hiyo hiyo unapata uzima wa milele.So tell me hii imekaaje,ikiwa burudani its okay ila linapokuja suala la adhabu hapana Mungu hafai.

Choose Life.
 
Ukishaamini katika MUNGU tayari una dini, usipoamini tayari wewe ni muumini wa upagani na upagani nao ni dini. Acha porojo na tafsiri zako za google.
Actually Dini ni set of rules na procedures ambazo mwanadamu anadhani kwa kuzitekeleza basi anatenda sawa sawa na Mungu vile anataka.

Lakini Ukristu ni Imani sio dini kwa sababu Wakristu tunaongozwa na Roho na sio set of rules of cunduct.Lakini kuna baadhi ya madhehebu yameingiza Dini kwenye Imani hivyo wameachana na njia ya Ukweli.They have deviated from the Truth.
 
Imani haina set of rules?
 
Hao masikini,wanafiki,wasiojiweza na wote hao uliowataja kuwaona ktk dini ni kwamba wapo ktk dini hizo just only for their names. Ni Mkristo kwa sababu anaitwa Yakobo,Petero na Nathan au Omar,Yasin na Aisha kuwa mwislamu. Lakini ini reality hawako kwenye dini. Na hao unaowaona wanahangaishwa na mafuta,chumvi na keki kwenye dini hawako kwenye dini bali dini to them religion it has turned to be an opium kwa hayo madhira waliyonayo. Ndugu ni ukweli mchungu lakini ndo hivyo muhimu shikiria unachokiamini utaokolewa kwa rehema
Unajua anachokiamini ni nini?
Imani haina set of rules?
Imani ya Kikristu haina set of rules.
 
Dini zetu hz, tumepigwa tu.

Binafsi nlikuwa mtu wa dini sana, miaka kadhaa ilopita lkn tabia yangu ya kuyadadisi mambo kwa kina iliniponza.

Habari za mfalme Suleiman ktk biblia ndo zilinitoa ktk imani
Zimekutowaje?
 
Roho ikikuongoza kufanya lolote unafanya?lets say, roho inaweza kukuongoza kuzini?
Roho wa Mungu hawezi kukuongoza kutenda yasiyompendeza Mungu,ukiona inakuongoza kwenda kuzini basi kuna walakini ichunguze hiyo roho inayokuongoza.Na kama ukiprove inatoka kwa Mungu unafanya kama ilivyokuelekeza.

Unakumbuka Story ya Nabii Hosea alipoagizwa akaoe Malaya?Kwa kuwa alijua ni agizo kutoka kwa Mungu aliobey.
Thats how we operate in spirit.
 
Kwa maelezo yako yasiyompendeza Mungu haitakiwi kuyafanya. Au kwa ufupi dhambi hazimpendezi na hatutakiwi kuzifanya na roho ndo anayongoza katika hayo maamuzi ya kutokuzifanya. Ni sahihi?
 
Ikuingie akilini au isikuingie habari ndo hiyo. Mungu tumuelewe au tusimuelewe atabaki kuwa Mungu.

Ukiishi hovyo miaka 70 hukumu ya moto ni ya milele lakini usisahau kuwa ukiishi vyema pia miaka 70 hiyo hiyo unapata uzima wa milele.So tell me hii imekaaje,ikiwa burudani its okay ila linapokuja suala la adhabu hapana Mungu hafai.

Choose Life.
Bado ni mkanganyiko mkubwa kwenye haya mambo ya Dini!!!Imani kama imani tu bila uwezo wa kutafakari na kung'amua uhalisia!!!KWA HIO TUKUBALIANE HAPA!MUNGU ALIMUUMBA SHETANI AKAMFANYA KUA SHETANI ILI ATUDANGANYE TUKACHOMWE MOTO?KUMBUKA KULIKUWA HAKUNA SHETANI KABLA YAKE WALA MWENYE KIBURI!!!KWAHIO SHETANI ALIKITOA WAPI KIBURI KAMA KULIKUA HAKUNA SHETANI MWINGINE???????Najua utaishia kusema mengine tutajua tukifika huko kwake!!Lakini ikumbukwe mjinga huamini kila neno bali mwerevu hulijaribu neno!!!
 
Back
Top Bottom