Habari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?
Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Covid 19 haikuachi ufike huko yako Fanya leoHabari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?
Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Mkiambiwa ccm na mataga mnaakili ndogo mnaona mnaonewa kwaakili yako ndogo unadhani tunaongelea mifumo ya tehama jinga kabisa wewe hapa tunaongelea checks and balances kwenye serikali mifumo imara inayoweza kumuwajibisha awaye yote akiharibu mfano mzuri ni USA Trump pamoja na kuwa rais wa taifa kubwa ila alipozungua aliondolewa Kama unavyomuondoa mtoto mdogo kwenye ziwa la mama yake huku kwetu haiwezekani magufuli ni Mungu mdogo wa taifa ndiomaana anaweza fanya lolote wakati wowwote kwayeyote na asifanywe chochote . Tunataka overhaul kwenye katiba na mahakama isiyo na macho hiyo ndio mifumo tunayoizungumzia sio mifumo ya tehama au control number za malipo ya serikali kilaza wewe.unataka mifumo imara ya namna ipi mkuu? karibia kila wizara kwa Sasa mifumo imefsnyiwa mapinduz kwa kiasi kikubwa,kwa kurekebisha mifumo hii,ndio maana tunayaona matokeo chanya mpaka sasa ,karibia kila wizara mifumo iko very serious and tough.sometimes we better be grateful u people.
Jibu swali lililopo mezani, je ni mwana CHADEMA gani amefikishwa mahakamani kwa ufisadi mpaka Sasa?chadema ni mafisadi indirect ,kwa bahati mbaya mwanzo enzi za mzee slaa walikuwa vizuri na nia ilikuwa njema,mi nadhani mzee slaa alikuwa anatumia akili kubwa kuwa shape,tangu slaa ametoka akaachiwa chama yule ndg mroho Kama fisi,wamepoteana mazima...imekuwa ni campuni ya mabeberu sio chama Cha siasa tena.
Baada ya huu utawala bunge lijalo litakuwa huru na ndio bunge litakaloibua kashfa nyingi kama ilivyokuwa enzi za sita.Haya manunuzi ya ndege huenda yakawa kama rada na ndege ya Rais enzi za MrambaHuwezi kujua maana media imebanwa
Je wajua miradi mikubwa iliopo kule Chato haijapitishwa na bunge wala hakuna anajua zaidi ya jiwe na mtoto wa dadake anaitwa Dotto James
Midege na manunuzi yote serikalini yapo chini ya mtoto wa dadake ukihoji unapotea
Nashukuru kwa kunipenda. Sijui kwa nini unaniita mpinzani! Kwa kusema kwangu katiba ni mbaya? Sio ccm wote ni maccm. Tatizo ni kwamba ccm ni watz. Na watz ni wanafiki. Sijasema wote. Kabudi, Bashiru, Polepole, Bashe kuflock na Magu kama ni ndoto basi ni jinamizi. Lipumba kaongelea Magu kuzungukwa na wapenda katiba ya wananchi. Kasahau kuwa hawa sio wale tuwajuao.Kwa hali hiyo lazima tujue pá kuanzia, na tuanze sasa. Ile kukurupuka bado miezi machache kila siku inakula kwetu.
Nimekupenda bure. Sipendi wapinzani ambao hawajui wapi tatizo na lazima tuanze sasa.
Lipumba amenifurahisha sana. Amei present softly but strong the need to have new especially Warioba, pro people Constitution.
Hata kuwaambia wabunge wenzio,waletage ten percent ya posho zao ,ni ufisadi mkubwa pia.Jibu swali lililopo mezani, je ni mwana CHADEMA gani amefikishwa mahakamani kwa ufisadi mpaka Sasa?
umezunguka saaaana,kumbe shda yako ni jpm na sio mifumo sio.hiyo check and balance kwenye mifumo inamaana huioni?tangu jpm ameingia madarakani viongozi wangapi wameondolewa madarakani na wengine kushitakiwa?nadhani jibu unalo.viongozi wengi walioonekana wameenda kinyume na mfumo wa serikari na vision ya serikali walishugulikiwa bila kupepesa macho.unataka nn zaidi?Mkiambiwa ccm na mataga mnaakili ndogo mnaona mnaonewa kwaakili yako ndogo unadhani tunaongelea mifumo ya tehama jinga kabisa wewe hapa tunaongelea checks and balances kwenye serikali mifumo imara inayoweza kumuwajibisha awaye yote akiharibu mfano mzuri ni USA Trump pamoja na kuwa rais wa taifa kubwa ila alipozungua aliondolewa Kama unavyomuondoa mtoto mdogo kwenye ziwa la mama yake huku kwetu haiwezekani magufuli ni Mungu mdogo wa taifa ndiomaana anaweza fanya lolote wakati wowwote kwayeyote na asifanywe chochote . Tunataka overhaul kwenye katiba na mahakama isiyo na macho hiyo ndio mifumo tunayoizungumzia sio mifumo ya tehama au control number za malipo ya serikali kilaza wewe.
Kwa upumbavu wako unadhani wameshughulikiwa na mifumo nakusamehe kwahilo kungekuwa na mifumo smart hata yeye angepaswa kushughulikiwa.umezunguka saaaana,kumbe shda yako ni jpm na sio mifumo sio.hiyo check and balance kwenye mifumo inamaana huioni?tangu jpm ameingia madarakani viongozi wangapi wameondolewa madarakani na wengine kushitakiwa?nadhani jibu unalo.viongozi wengi walioonekana wameenda kinyume na mfumo wa serikari na vision ya serikali walishugulikiwa bila kupepesa macho.unataka nn zaidi?
Atafunguliwa mashtaka Mengi ambayo hatoamini milele labda asiachie madaraka na raisi ajaye akimuwajibisha huyu jiwe nchi Itazaliwa upya na matumaini kwa watanzania yataibuka tena na nchi itapiga hatua kubwa kimaendeleo kwani wananchi watakuwa na amani na furaha kitu ambacho ni chanzo kikubwa sana cha maendeleoHabari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?
Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Watanzania watarudi kuwa wajinga kama awali.Habari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?
Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Naamini atatoka November 2025wewe unaona dalili za yeye kutoka
Kwanini?Nchi inaweza kuingia ktk kipindi kigumu kisiasa na kiuchumi.
Magufuli hawezi kukubali kufanya makosa lazima mirathi wake atakua yule mbunge wa Chato au mtoto wa dadake anaitwa Dotto JamesBaada ya huu utawala bunge lijalo litakuwa huru na ndio bunge litakaloibua kashfa nyingi kama ilivyokuwa enzi za sita.Haya manunuzi ya ndege huenda yakawa kama rada na ndege ya Rais enzi za Mramba
Covid opotelee mbali kabisa, nitashuhudia Rais mpya wa Tanzania 2025.Covid 19 haikuachi ufike huko yako Fanya leo