Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Kwanza ajae kama ni boya chanjo ya korona ya bill gate itaruhusiwa na lockdown tutaenda
Habari wadau wa JF siasa.

Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?

Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
 
Covid 19 haikuachi ufike huko yako Fanya leo
 
unataka mifumo imara ya namna ipi mkuu? karibia kila wizara kwa Sasa mifumo imefsnyiwa mapinduz kwa kiasi kikubwa,kwa kurekebisha mifumo hii,ndio maana tunayaona matokeo chanya mpaka sasa ,karibia kila wizara mifumo iko very serious and tough.sometimes we better be grateful u people.
Mkiambiwa ccm na mataga mnaakili ndogo mnaona mnaonewa kwaakili yako ndogo unadhani tunaongelea mifumo ya tehama jinga kabisa wewe hapa tunaongelea checks and balances kwenye serikali mifumo imara inayoweza kumuwajibisha awaye yote akiharibu mfano mzuri ni USA Trump pamoja na kuwa rais wa taifa kubwa ila alipozungua aliondolewa Kama unavyomuondoa mtoto mdogo kwenye ziwa la mama yake huku kwetu haiwezekani magufuli ni Mungu mdogo wa taifa ndiomaana anaweza fanya lolote wakati wowwote kwayeyote na asifanywe chochote . Tunataka overhaul kwenye katiba na mahakama isiyo na macho hiyo ndio mifumo tunayoizungumzia sio mifumo ya tehama au control number za malipo ya serikali kilaza wewe.
 
Tunataka mifumo ambayo haitateuwa viongozi wa serikali kwa undugu ushoga ubest ukanda au ukabila. Tunataka mfumo unaoweza kusimamia maamuzi ya taasisi ya urais Leo hii marekani ingekuwa ndio Tanzania Magufuli na wabogojo wangekuwa sawa mbele ya sheria. Lakini haiko hivyo.
 
chadema ni mafisadi indirect ,kwa bahati mbaya mwanzo enzi za mzee slaa walikuwa vizuri na nia ilikuwa njema,mi nadhani mzee slaa alikuwa anatumia akili kubwa kuwa shape,tangu slaa ametoka akaachiwa chama yule ndg mroho Kama fisi,wamepoteana mazima...imekuwa ni campuni ya mabeberu sio chama Cha siasa tena.
Jibu swali lililopo mezani, je ni mwana CHADEMA gani amefikishwa mahakamani kwa ufisadi mpaka Sasa?
 
Huwezi kujua maana media imebanwa
Je wajua miradi mikubwa iliopo kule Chato haijapitishwa na bunge wala hakuna anajua zaidi ya jiwe na mtoto wa dadake anaitwa Dotto James
Midege na manunuzi yote serikalini yapo chini ya mtoto wa dadake ukihoji unapotea
Baada ya huu utawala bunge lijalo litakuwa huru na ndio bunge litakaloibua kashfa nyingi kama ilivyokuwa enzi za sita.Haya manunuzi ya ndege huenda yakawa kama rada na ndege ya Rais enzi za Mramba
 
Kwa hali hiyo lazima tujue pá kuanzia, na tuanze sasa. Ile kukurupuka bado miezi machache kila siku inakula kwetu.

Nimekupenda bure. Sipendi wapinzani ambao hawajui wapi tatizo na lazima tuanze sasa.
Lipumba amenifurahisha sana. Amei present softly but strong the need to have new especially Warioba, pro people Constitution.
Nashukuru kwa kunipenda. Sijui kwa nini unaniita mpinzani! Kwa kusema kwangu katiba ni mbaya? Sio ccm wote ni maccm. Tatizo ni kwamba ccm ni watz. Na watz ni wanafiki. Sijasema wote. Kabudi, Bashiru, Polepole, Bashe kuflock na Magu kama ni ndoto basi ni jinamizi. Lipumba kaongelea Magu kuzungukwa na wapenda katiba ya wananchi. Kasahau kuwa hawa sio wale tuwajuao.
Kitisho zaidi ya yote ni mufti kula nguruwe! Maalim Seif na upemba wote kuwa hivi alivyo. Usisahau Lipumba katoka Tabora, jungu la majungu. Leo anamshangaa Maalim alikataa nini na afanza nini sasa. Kamwambia arudi CUF. Leo hakuna tofauti kati ya CUF na ACT.
Mfupa uliomshinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete; leo kiguu na njia Chato! Kilio kikubwa. Historia ya mchato inajengeka kwa matofali aliyotumia Hitler. Wajerumani tuwajuao kutawaliwa na Hitler! Inconceivable. Huyu ni rahisi kwa sababu watz ni wanafiki. Mtu hata hamfahamu anatumbuliwa anashangilia. Utumbuaji wenyewe! Haudhurii misiba. Je, siku hizi anajigaragaza huko? Karudi tena.Washangiliaji walewale wakapiga kelele na vigelegele. Watz wote Chato!
 
Mkiambiwa ccm na mataga mnaakili ndogo mnaona mnaonewa kwaakili yako ndogo unadhani tunaongelea mifumo ya tehama jinga kabisa wewe hapa tunaongelea checks and balances kwenye serikali mifumo imara inayoweza kumuwajibisha awaye yote akiharibu mfano mzuri ni USA Trump pamoja na kuwa rais wa taifa kubwa ila alipozungua aliondolewa Kama unavyomuondoa mtoto mdogo kwenye ziwa la mama yake huku kwetu haiwezekani magufuli ni Mungu mdogo wa taifa ndiomaana anaweza fanya lolote wakati wowwote kwayeyote na asifanywe chochote . Tunataka overhaul kwenye katiba na mahakama isiyo na macho hiyo ndio mifumo tunayoizungumzia sio mifumo ya tehama au control number za malipo ya serikali kilaza wewe.
umezunguka saaaana,kumbe shda yako ni jpm na sio mifumo sio.hiyo check and balance kwenye mifumo inamaana huioni?tangu jpm ameingia madarakani viongozi wangapi wameondolewa madarakani na wengine kushitakiwa?nadhani jibu unalo.viongozi wengi walioonekana wameenda kinyume na mfumo wa serikari na vision ya serikali walishugulikiwa bila kupepesa macho.unataka nn zaidi?
 
Hakuna mtu atakayekwenda kumwomba ushauri. Mambo mabaya yote aliyoyatenda, yataanikwa wazi, hata wajinga aliokuwa akiwadanganya, watabakia midomo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hadi leo hii Februari 3 2021 bado sijaona mtanzania ambaye ana weza kuvaa viatu vya JPM, bado sijaona mtu jasiri na mchapakazi mfuatiliaji kila kitu bila woga kama yeye. samahani kwa kusema kama nitamkwaza yeyote kwa kusema bado walio wengi wana kosa sifa ya ujasiri, ushupavu na uthubutu, kwani mafanikio makubwa ya Rais JPM yamechagizwa sana na tabia yake binafsi ya kujiamini bila kukubali kuyumba au kuyumbishwa, mzalendo imara asiye mnafiki,mwenye kujali na kuwazingatia watu wa chini zaidi kuliko walio juu, asiye kubali kuletewa taarifa tu bila kujiridhisha, asiye endekeza majungu wala fitina, kwa kifupi kiti cha Urais kakitendea haki,

pamoja na "miluzi" mingi ya kumtoa nje ya "reli" lkn bado amebaki kwenye "reli".
hajawahi kuchezeshwa "ngoma" asiye ijua.

tunamuombea Mungu amtunze akamilishe kipindi chake salama salimini,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umezunguka saaaana,kumbe shda yako ni jpm na sio mifumo sio.hiyo check and balance kwenye mifumo inamaana huioni?tangu jpm ameingia madarakani viongozi wangapi wameondolewa madarakani na wengine kushitakiwa?nadhani jibu unalo.viongozi wengi walioonekana wameenda kinyume na mfumo wa serikari na vision ya serikali walishugulikiwa bila kupepesa macho.unataka nn zaidi?
Kwa upumbavu wako unadhani wameshughulikiwa na mifumo nakusamehe kwahilo kungekuwa na mifumo smart hata yeye angepaswa kushughulikiwa.
 
Habari wadau wa JF siasa.

Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?

Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Atafunguliwa mashtaka Mengi ambayo hatoamini milele labda asiachie madaraka na raisi ajaye akimuwajibisha huyu jiwe nchi Itazaliwa upya na matumaini kwa watanzania yataibuka tena na nchi itapiga hatua kubwa kimaendeleo kwani wananchi watakuwa na amani na furaha kitu ambacho ni chanzo kikubwa sana cha maendeleo
 
Habari wadau wa JF siasa.

Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?

Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Watanzania watarudi kuwa wajinga kama awali.
 
Baada ya huu utawala bunge lijalo litakuwa huru na ndio bunge litakaloibua kashfa nyingi kama ilivyokuwa enzi za sita.Haya manunuzi ya ndege huenda yakawa kama rada na ndege ya Rais enzi za Mramba
Magufuli hawezi kukubali kufanya makosa lazima mirathi wake atakua yule mbunge wa Chato au mtoto wa dadake anaitwa Dotto James
 
Back
Top Bottom