Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Hata anachofanya polepole kupokea matatizo ya watu kwenye simu channel ten ni utopolo mtupu jengeni mifumo imara itakayosimamia kwa haki sheria na taratibu za nchi kinyume na hapo ni sifa za kijinga mnataka kujipatia.
πŸ‘πŸ‘
 
Exactly umeliweka vizuri sana. Kwa mtazamo wangu kipindi cha Awamu ya 5 ndiyo kina UPIGAJI wa hela ya umma kuliko Awamu yeyote. Ila kwenye Awamu ya 5 magazeti na vyombo vingine haviko huru kuandika kwa kuwa wanaogopa kufutwa au kuzushiwa kesi za kutakatisha fedha.
 
So sad RIP Magufuli
 
Garbage
 
Hatimaye historia imejiandika sasa ... Unashukuru?
Neno la Mungu linasema shukuruni kwa kila jambo, yeye hutoa na kutwaa kwa wakati wake.

Nisije kuambiwa nikufuru kama alivyoambiwa Ayubu wakati ule anapitia majaribu nikamkosea Bwana Mungu.

Muhimu kama Taifa, Tushukuru kwa kila Jambo πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…