Ushujaa wake kwangu ni kuweza kutikisa nchi wakati:
1)matajiri wapo,
2)wasomi wapo,
3)wanasiasa wabobezi wapo,
4)kundi la wajinga wajinga wengi tuu wapo,
Nchi imetulia kama maji ya mtungi, kelele mfyuuuuuuu.
Tunataka shujaa mwingine kama yeye lakini aangalia haki za binadamu na utawala bora.
Wenye tabia za Kina kikwete hatuwataki nchi hii tena.
Na moja ya vitu vinavyo fanya nimeheshimu mwenyekiti Mbowe. Ni discipline Chamani, akitamka hata vitu vyenye maswali mengi Chama kinatulia hakuna kelele. Sio mwenyekiti kasema , na wengine wanatoa kauli, na waliojaribu walifukuzwa Chadema bila msamaha. Ni mwendo wa kutii tuu.
Sent using
Jamii Forums mobile app