Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Alishawajibu wakina Nkamia na Keisi kuwa hataki mhula mwingine baada mihula yake miwili kumalizika.
UNAMWAMINI HUYU JAMAA YAKO? KUMBUKA ALISEMA YEYE HATAMCHUKUA MPINZANI NA KUMPA KAZI KWENYE SERIKALI YAKE. JE, NI KWELI HAKUNA WAPINZANI ALIOWACHUKUA NA KUWAPA MADARAKA KWENYE SERIKALI YAKE?
 
Embu dokeza sehemu moja uijuayo ina ufisadi hapa nchini
 
Magufuli anapaswa kwenda jela baada ya 2025, hawezi kufanya Uhalifu mkubwa hivi dhidi ya raia halaf aachwe tu akakae Chato, stahili yake ni jela period!
 
Nchi hii sio ya mama yako wala baba yako kenge wewe
Nchi hii ni ya Baba yangu,Mama yangu,Yangu na ya kwako pia Kenge wa Pakistan weweee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nchi hii ni ya Baba yangu,Mama yangu,Yangu na ya kwako pia Kenge wa Pakistan weweee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama unatafuta basha wa kukusugua kwenye mtandao ule basi endelea na ushobo dundo
 
Kama unatafuta basha wa kukusugua kwenye mtandao ule basi endelea na ushobo dundo
Kuwa na adabu wewe hii peke yake inaonesha ni kiasi gani usivyo na adabu na ndio reflection ya wapuuzi wenzanko ambao kazi yenu ni kulalamika tuu...hakuna mtu atakaye ilisha familia yako fanya kazi mpumbavu mkubwa wewe.
 
Akistaafu atanyongwa kwa kufukarisha watu wote nchini. Pia kwa kuua akina azory gwanda
 
Mifumo inasimamiwa na watu au maroboti.?

Huko chadema mbona huwa mnakandamiza mifumo mliyoijenga na kufanya kwa matakwa ya mtu??
 
Huyu keshafika anatutosha sana sana,mihemko ya uchaguzi tutairuhusu ila huyu haondoki kwa leo wala kesho unaweza kusema ni wakudumu,nchi yetu bado changa sana uchaguzi kila baada miaka mitano ni hasara,si umiona wagombeawalivyoishiwa na mafuta.
Magu kwa sasa ndio chaguo la kila mtu japo wengi wanaweka rohoni,hawataki kuropoka ropoka,ila mdundo ndio huo.
 
Sidhani kama atabanduka hapo
Kuondoka ataondoka ingawa baada ya kumwacha mrithi wa chaguo lake.

Kama ataona mrithi bado hajapatikana wa chaguo lake hapo tutahesabu mi10 tena.🙌

Katika CC ya chama na NEC yao hakuna mwenye nguvu zaidi yake. Alikuwepo Mkapa but he is no more. Hivyo ni rahisi kuweza kumweka mtu wake na akatumika kama romote yeye akiwa anakamua maziwa Chato.
 
Mkapa alipoondoka ndio tukajua kumbe alijimilikisha mgodi wa makaa ya mawe Kiwira tena kwa kukopeshwa 150mil Tzs.
 
Vp akifa akiwa Madarakani?? Au hata hilo alishampokonya Mola Mapenzi yake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…