UNAMWAMINI HUYU JAMAA YAKO? KUMBUKA ALISEMA YEYE HATAMCHUKUA MPINZANI NA KUMPA KAZI KWENYE SERIKALI YAKE. JE, NI KWELI HAKUNA WAPINZANI ALIOWACHUKUA NA KUWAPA MADARAKA KWENYE SERIKALI YAKE?Alishawajibu wakina Nkamia na Keisi kuwa hataki mhula mwingine baada mihula yake miwili kumalizika.