Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Habari wadau wa JF siasa.

Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kimaendeleo nk?

Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Kafa na Mambo yamekuwa Mazuri zaidi
 
Kafa na Mambo yamekuwa Mazuri zaidi
Mambo yapi ??
Wakati wa Rais Magufuli sheria za nchi zilikuwa zinavunjwa na watu wachache ila tangu magufuli atutoke ni kama wimbi la wahalifu limefunguliwa kutoka kifungoni.

Mama Samia needs to work very very hard
 
Habari wadau wa JF siasa.

Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kimaendeleo nk?

Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Tutamzika chato porini kwake alafu tutanya tutasonga mbele bila dictotor
 
Back
Top Bottom