Pre GE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata wakiwa sawa kifedha bado wenzao watawazidi kwa kuwa wana Dola πŸ˜³πŸ™„πŸ™Œ
 
CCM has unlimited resources kuanzia wajinga wengi
Pesa
Vitisho etc

Ukiona ni mpinzani na kawashinda CCM jua watu wa eneo hilo wanajitambua
 
Fedha haina maana kama mwenzako anamiliki vyombo vyote vya dola ikiwa ni pamoja na tume ya uchaguzi
 
Hakuna chama kutakacho fikia ccm kwa sababu hawa wengine ni wachumia tumbo
 
Hakuna chama kutakacho fikia ccm kwa sababu hawa wengine ni wachumia tumbo

..Ccm kuna wachumia tumbo wengi zaidi kuliko vyama vya upinzani. Unapoambia " Ccm Baba lao " unaelewa nini?
 
Fedha haina maana kama mwenzako anamiliki vyombo vyote vya dola ikiwa ni pamoja na tume ya uchaguzi

..lakini ukiwa na fedha unaweza kuwafikia na kuwalainisha watu wengi hata walioko ktk vyombo vya dola.
 
Hata wakiwa sawa kifedha bado wenzao watawazidi kwa kuwa wana Dola πŸ˜³πŸ™„πŸ™Œ

..ukiwa na fedha utaweza kuvilainisha vyombo vya dola.

..hivi kuna watumishi wanaopenda fedha kuliko walioko ktk vyombo vya dola?πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
..Ccm kuna wachumia tumbo wengi zaidi kuliko vyama vya upinzani. Unapoambia " Ccm Baba lao " unaelewa nini?
Vyama pinzani vimezidi maana pesa inapatikana huliwa kilaina maana hata wahasibu havina
 
Vyama pinzani vimezidi maana pesa inapatikana huliwa kilaina maana hata wahasibu havina

..ukiona wapinzani wanatafuna fedha za umma, basi ujue Ccm wanatafuna zaidi yao.

..ukiona wapinzani wanakuwa rushwa, basi ujue Ccm wanakula rushwa zaidi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…