Umesema mchoro Bora Kabisa,Halafu huulewi?! Sasa huo ubora umejuaje!
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema mchoro Bora Kabisa,Halafu huulewi?! Sasa huo ubora umejuaje!
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Mimi naona hiyo si mwendokasi kwel jaman??? 😂😂😂😂😂"Mchoro wenye rangi za CHADEMA"(?)🤔🤔🤔🤔🤔
Umeona kamanda, sema na wewe, ujue tunapokaa kusema haya kila wakat watu wanakuona wewe mamluki 😂😂Tamaa za mbowe hizo basi limepoteana.....
Akiisema chadema kwa ukwel.Huyu kumbe nae ni POPOMA
Ina maana kuwa kugawana mkate ni jambo zuri sana
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Yawezekana CHADEMA ni mwendokasi zote zilizopo mjini.Mimi naona hiyo si mwendokasi kwel jaman??? 😂😂😂😂😂
AaahaaKwamba sasa hivi chama kina kikosi kipana, kimechukuanafasi ya magari yanayo enda na yanayo rudi。
Fafanua mkuuHasara ya kuwaingiza wachungaji na mapadri katika vyama. Dkt SLAA vs Mchungaji msigwa. athari yake utaiona miaka 10 ijayo
Mkuu naona haumpendi, si vizuri kumsakizia mentioned sehemu hatarishi namna hiyo.Chora katuni zako kuhusu Bajeti.
Umenena vemaMasoud ajikite zaidi katika mambo ya bajeti. Lipumba kaiua cuf wananchi wa kijijini wamefaidika na nini?
🤔🤔🤔🤔🤔naamisha mapadri na wachungaji katika siasa hawaaminiki, ndio maana hata harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika walikaa pembeni. masheikh ndio walioongoza. rejea dk slaa
Mie hata sio kamanda wala kada....mie Mtanzania tu raia wa kawaida.Umeona kamanda, sema na wewe, ujue tunapokaa kusema haya kila wakat watu wanakuona wewe mamluki 😂😂
Toka maccm yawe madarakani yamesaidia nini kupunguza umasikini wa nchi licha ya rasilimali lukuki tulizo nazo?Toka Machadema yameanza kuropoka yamesaidia Nchi hii?
Ndiyo ujue kuwa CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuUmesema mchoro Bora Kabisa,Halafu huulewi?! Sasa huo ubora umejuaje!