Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kwahiyo bora alivyokufa tu eti? 🫢😂😂Mie hata sio kamanda wala kada....mie Mtanzania tu raia wa kawaida.
Siasa niliacha kuzipenda 2015, yani kila nikikumbuka kile kisauti cha jaji lubuva akitangaza matokeo....mwili wote unapata ganzi😹 nilipata homa.
1: Anna Elisha Mghwira ACT amepata kura 876 sawa na asilimia 0.0008
2: Edward Ngoyai Lowasa CHADEMA amepata kura laki 2 sawa na asilimia 2.2
3: John Pombe Joseph Ccm....
Sina hamu na hiki kisauti 🤣🤣