Kwamba chama kilikuwa kimefungwa hivyo wanahitaji hewa safi toka nje. Soma uzuri wa mfumo usioruhusu nguvu toka nje na uzuri wa mfumo unaokaribisha nguvu toka nje.
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Inatuonyesha kwamba imefika wakati Chama kinatakiwa kikubali nguvu toka nje ya chama, na sio kuwa na mfumo wa kupata nguvu toka ndani ya chama Tu.
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?