Pre GE2025 Nini maana ya huu mchoro wa Kipanya wenye bendera ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.

Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Ina maana kuwa kugawana mkate ni jambo zuri sana

Pasu pasu kama inavyoonekana kwenye picha
 
Hivi kwa mfano CCM ukiwaambia wapige kura kati ya Lissu na Mbowe nani awe m/kiti kura nyingi zitaenda kwa Mbowe, sababu ana siasa za maridhiano. Lissu ni usipotoa kwa heri utatoa Kwa Shari.
 
Kwamba sasa hivi chama kina kikosi kipana, kimechukuanafasi ya magari yanayo enda na yanayo rudi。
 
naamisha mapadri na wachungaji katika siasa hawaaminiki, ndio maana hata harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika walikaa pembeni. masheikh ndio walioongoza. rejea dk slaa
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Umeona kamanda, sema na wewe, ujue tunapokaa kusema haya kila wakat watu wanakuona wewe mamluki 😂😂
Mie hata sio kamanda wala kada....mie Mtanzania tu raia wa kawaida.

Siasa niliacha kuzipenda 2015, yani kila nikikumbuka kile kisauti cha jaji lubuva akitangaza matokeo....mwili wote unapata ganzi😹 nilipata homa.

1: Anna Elisha Mghwira ACT amepata kura 876 sawa na asilimia 0.0008
2: Edward Ngoyai Lowasa CHADEMA amepata kura laki 2 sawa na asilimia 2.2
3: John Pombe Joseph Ccm....


Sina hamu na hiki kisauti 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…