Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kwahiyo bora alivyokufa tu eti? 🫢😂😂Mie hata sio kamanda wala kada....mie Mtanzania tu raia wa kawaida.
Siasa niliacha kuzipenda 2015, yani kila nikikumbuka kile kisauti cha jaji lubuva akitangaza matokeo....mwili wote unapata ganzi😹 nilipata homa.
1: Anna Elisha Mghwira ACT amepata kura 876 sawa na asilimia 0.0008
2: Edward Ngoyai Lowasa CHADEMA amepata kura laki 2 sawa na asilimia 2.2
3: John Pombe Joseph Ccm....
Sina hamu na hiki kisauti 🤣🤣
Kwahiyo bora alivyokufa tu eti? 🫢😂😂
Msalimie mzee wako spunda maana alichagukiwa na familia yake tu. Mkewe na watoto.Mimi na familia yangu tulimchagua Hashim Rungwe Spunda 😹😹😹
Dirisha wizara ya fedha lipo wazi kabisa, kwa maswali yako yote juu ya matumizi ya kila senti inayokopwa, watanzania wana mgando kwenye akili zao, kila infos inapatikana kwa wepesi kabisa, endapo unataka kufahamu kama mwananchi na mtanzania, dogo mliberaliMmlikopa mmefamya Nini?
Au kwenda kutalii Korea na wasanii
Kwani CHADEMA inafanya kazi kwa kuwaangalia CCM?Unadhani Lissu akiwa mwenyekiti wa Chadema ccm watafurahi?
Mbona umaskini umepungua Hadi 26%?Toka maccm yawe madarakani yamesaidia nini kupunguza umasikini wa nchi licha ya rasilimali lukuki tulizo nazo?
unadhani anaongoza nchi?Kwani CHADEMA inafanya kazi kwa kuwaangalia CCM?
Inayoongoza ni serikali sio chama cha siasa.unadhani anaongoza nchi?
Hizi rangi mbona ni zile za Mahita alizosema CUF wameagiza majambia wakati ni visu vipo madukani!
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
AYAAAAAA CHADEMA KWISHA KAZI YAO YAAAANI WAMEGAWANYIKA HIVI??? DUUU HATUNMA UPINZANI KABISA HAPA TZ WAPI ERYTHROCYTE NJOO HUKU UONE KIPANYA ANA WAZO
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
ERYTHROCYTE ATAKUJA KUBISHA HAPABasi limekatika mbele. Hao viongoz/ maderva washapasua gari.. lisuu yuko kivyake na mbowe kivyake. Na hao ndo madereva wa chama, kule nyuma kwq maamuma kama Erythrocyte kunaonekana hakuna shida. Hapo CDM ndo kwishinehi- nehi nehi
Tundu Lissu atakuwa hajaiona hii. Angemwambia Milard Ayo aitoe au atambuluza mahakamani. Au angesema sijui tulipatwa nini hadi tukampa Samia tuzo.
umetambuaje kwamba ni mchoro bora kama hujaelewa anamaanisha nini....
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Upinzani hauwezi kufa..tulianza na TLP, NCCR MAGEUZI, CUF Leo tuko Na chadema
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Ni ishara ya hii treni bovu ya umeme kupata ajali na kuua watu wengi sana
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Jamaa kachora hiyo treni iliyozinduliwa dar-moroChadema ni sawa na treni bovu?