Kwamba chama kilikuwa kimefungwa hivyo wanahitaji hewa safi toka nje. Soma uzuri wa mfumo usioruhusu nguvu toka nje na uzuri wa mfumo unaokaribisha nguvu toka nje.
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Inatuonyesha kwamba imefika wakati Chama kinatakiwa kikubali nguvu toka nje ya chama, na sio kuwa na mfumo wa kupata nguvu toka ndani ya chama Tu.
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Anaashiria kwamba kutatokea Chadema Asili na Chadema maslahi. !
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Chadema haijapasuka, imepasuliwa
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Mchoro huo unaashiria soon kutatokea Chadema Asili na Chadema maslahi 🙄
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Hahahahaha 🙄🙄 !Unakuwaje mchoro bora ikiwa haujui maana yake?. Nilitarajia ufafanue wewe kila kona ya ubora wake. Sasa imekuwa ndivyo sivyo.
Umenikumbusha mbali sanaa! Ata mm sionagi umhimu wa kupiga kura! Nitaanza kupiga kura nikiona tume huru ya uchaguzi umewekwa. Bila hivyo sionagi sababu!Mie hata sio kamanda wala kada....mie Mtanzania tu raia wa kawaida.
Siasa niliacha kuzipenda 2015, yani kila nikikumbuka kile kisauti cha jaji lubuva akitangaza matokeo....mwili wote unapata ganzi😹 nilipata homa.
1: Anna Elisha Mghwira ACT amepata kura 876 sawa na asilimia 0.0008
2: Edward Ngoyai Lowasa CHADEMA amepata kura laki 2 sawa na asilimia 2.2
3: John Pombe Joseph Ccm....
Sina hamu na hiki kisauti 🤣🤣
Mimi pia ni hivyo hivyo !Umenikumbusha mbali sanaa! Ata mm sionagi umhimu wa kupiga kura! Nitaanza kupiga kura nikiona tume huru ya uchaguzi umewekwa. Bila hivyo sionagi sababu!
Chadema imepasuka vipande viwili
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Unamaanisha kuramba asali ni misukosuko?Chama kikubwa kama Chadema kwenye kukua na kuimarika kwake lazima kipitie misuko suko.
Ni ujinga kudhani Chadema hakiwezi kupitia joto la ndani kwa ndani.
Mbowe achukue maamuzi magumu kuinusuru Chadema