Nini maana ya wengine wamepata wengine bado.

Nini maana ya wengine wamepata wengine bado.

Mi Kuna mtu ananidai bila shaka anajua situation maana haongei
Jana ilibidi nimpange kabisa kuwa ni hadi waweke
Adai kwani yeye hajui kuwa mshahara umecheleweshwa? Maana taarifa za mshahara wanazo wasiowatumishi sikuzote,umbea umewaacha🙄
 
Na kazi mgekua mnachapa km hv taifa lingekua mbali.

Soma mkataba wako ulitakiwa kulipwa tarehe ngapi?

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Adai kwani yeye hajui kuwa mshahara umecheleweshwa? Maana taarifa za mshahara wanazo wasiowatumishi sikuzote,umbea umewaacha🙄
Sipendi kabisa kuonana na afisa utumishi maana hawana majibu maombi yangu ni by 6 mchana waweke
 
Hawa viumbe hela zote wanazozikusanya kupitia kodi na tozo, pamoja na zile za kukopa! Sijui wanazipeleka wapi!
 
Back
Top Bottom