mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Unasema binti wa asili hiyo automatically kiwango chake cha ufahamu kipo chini kivipi?wewe kiwango cha ufahamu cha mtu unakipima vipi labda?What if umeoa mwanamke ambaye kwao ni tajiri halafu akawa ni Slayqueen anawaza kubadilisha viwanja tu vya starehe itakusaidia nini?Asante kwa maoni yako! Lakini kiufupi binti wa asili kama hiyo kiwango chake cha ufahamu automatically ni cha chini. Kuna pia changamoto ya kutojua mechanism ya kanuni ya maisha kutakakopelekea kuvutwa upande wa kwao na huyo binti kujaribu kuwasaidia kwa gharama za kipato cha familia ya mme wake! Mwisho wa siku nao wataburuzwa kwenye umasikini!
Kwenye kuhusu familia yao kuegemea upande wako sioni tatizo as long as wewe umetokea kwenye familia yenye pesa au wewe mwenyewe binafsi uko vizuri.
Chukulia kwa mfano wewe kwa mwezi kipato chako ni 1500000Tsh.
Ukampa mkeo laki 3 hii ni ya matumizi yake yote ya nyumbani pamoja na vipodozi vyake vyote humohumo hiyo kwake ni nyingi sana atafurahi na kuipangilia vizuri sana baada ya hapo muongeze laki 2 hii unamwambia ni ya dharura sijui bibi anaumwa sijui mjomba kameza shoka sijui mama mkwe kaanguka chooni ukweni gunia la sembe/maharage limeisha hiyo laki 2 itasolve hayo wewe wasikusumbue tena.
Baada ya hapo wewe utakuwa umebakiwa na 1000000Tsh kwa ajili ya miradi yako.
Sasa njoo upande wa mke aliyetokea familia ya kitajiri mpe laki 3 ya matumizi ya nyumbani baada ya wiki 2 imeisha anataka nyingine,wakati unajisachi umuongezee hela ya misosi hujakaa sawa anataka Iphone 15 pro au 14 promax wakati unajikongoja uanze kumake na kusave umnunulie iphone 15 pro anakwambia wikiendi hii unitoe outing twende samaki samaki halafu tukimalize tuingie Mlimani city tufanye shopping utapasuka kichwa😄😄😄😄
Ndio maana kuna watu unakutana nao mtu anafanya kazi nzuri kwenye vitengo vizuri na mshahara mzuri let say mtu anapokea mshahara wa 5m miaka hata 10 na hana nyumba wala kiwanja usishangae sababu ni mambo kama haya.