Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?

[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Mwamba anakwama wapi sijui? Act as a man, usiwe rege rege iyo tayari ni vita mkuu jipange na ubebe siraha zote maana upande wa pili ushajipanga hayupo tayari kurud nyuma mkuu
Ni kwel usemalo, nimeakuja kuukubal huu ukwel late, mwanzo nilikua naona "noo hawez kuwa serious 4 kids after 15yrs??? Zitakua hasura tu"..aaah ila sasa naona kabisa huyu mama kapania kunimaliza
 
Mwamba anakwama wapi sijui? Act as a man, usiwe rege rege iyo tayari ni vita mkuu jipange na ubebe siraha zote maana upande wa pili ushajipanga hayupo tayari kurud nyuma mkuu
Nadhani anaogopa mahakama alafu wenda ana uwelewa mdogo wa sheria.

Sheria ya kutoa taraka ni ngumu sana na sio rahisi kama wengi wanavyo fikiri.

La msingi akifika mahakamani agome kutoa taraka na aseme kuwa bado ana mpenda mke wake,nakuambia mwanamke atasota mahakama mpaka achakae.
 
Ni kwel usemalo, nimeakuja kuukubal huu ukwel late, mwanzo nilikua naona "noo hawez kuwa serious 4 kids after 15yrs??? Zitakua hasura tu"..aaah ila sasa naona kabisa huyu mama kapania kunimaliza
Mkuu ww ukifika mahakamani goma kutoa taraka, sheria ya kudai taraka huwa ni ngumu ,kuna watu wana kesi za kudai taraka mpaka sasa wanasota mahakamani miaka 5 na hawajaipata acha uoga.
 
Mahakama zipo kwa ajiri ya watu na zinaendeshwa na watu nadhani ni uoga tu,,,na huenda wife wake anajua mwana ni mpole ndio maana amefanya ivyo,,,maana mtu anaksoma kwanza udhaifu wako ili akuingie,,,kuacha mali kilahisi hapana asee labda kama atatumia mahakama za jadi lakini kwenye ulimwengu wa damu na nyama ni big no, fika mahakamani, sidhan km wife anamzidi Mkuu IQ ya kureasoning kuhusu kutaka kudai talaka
 
Watz wengi tuna angamia kwa kutojua sheria.
 
Mkuu unakimbia nini? Kama uko Sahihi na hujakosa nenda na hakuna kitakachogawanywa, ila kama una makosa pia nenda hata kama ikigawanywa utaupata mgao kuliko kutokwenda, kumbuka shauri litasomwa na hukumu itatolewa kama ni mnada nyumba itapigwa, nakushaur nenda usiseme eti sitaki kugombania Mali itakula kwako. Wazee wa kataa ndoa msilete zengwe kwani mleta mada hajaleta kisa Cha mgogoro pia mahakamani hataki kwenda hii inaonyesha yeye huenda ndiye mkosaji msimlaumu mke wake, la sivyo alete kisa chote tujue nani mkosefu, kuweni wakweli na waadilifu.
 
Mkuu, jitahidi uwepo mahakamani.
Hakuna madhara ya moja Kwa moja kwako binafsi ila zaidi sana utamnufaisha mkeo.

Ni vyema ukawepo mahakamani, upinge hayo madai Kwa hoja na hata kama utaridhia, uridhie hoja katika namna inayofaa.

Watoto wakiwa chini ya Miaka Saba huwa wanaobaki na mama. Ni kweli wanawake wanapendelewa zaidi mahakamani kutokana na mfumo duke.
 
Nenda katembeze misimbazi michache tu timka.
Mwanamke anataka kukukomoa kwenye hayo madai hamna kitu.
Mwachie watoto tambaa.
Atakutafuta badae
 
Hao watoto mali wamezitafuta lini ilhali bado wadogo,mnashauri vitu ambavyo hamvijui mkuu, mali lazima mgawane na jukumu la mume ni kulea watoto,


Wanawake nuksi sana
Nimeshahudhuria mashauri mengi ya namna hii sio kuww nimejiandikia tuu.. Sasa hao watoto ni wa nani?
Kuna mali nyingi tu zilipewa zuio la mahakama kwenye kesi za namna hii kama watoto bado hawajafikisha miaka 18
 
Power of attorney mkuu itapingwa kwa sababu atakuwa amewaandikia kukiwa na mgogoro tayari! Hiyo MAWAKILI watasema ni janja ya mwanaume! Kikubwa wagawane mbao tu!
Nadhani kuna kipengele cha kuwapa watoto haki yao. Case study ni ile kesi ya Mzee Mengi
 
Nadhani kuna kipengele cha kuwapa watoto haki yao. Case study ni ile kesi ya Mzee Mengi
Tatizo mkuu ni timing ya hiyo power of attorney. Jamaa atakuwa anawaandikia kukiwa na mgogoro tayari na moja wa mashahidi katika hiyo power of attorney atatakiwa awe mke wake! Hapo ndipo kuna mkwamo! Kiufupi jamaa yetu ameyakanyaga!
 
Dadadaaake Kataa kuoa Kataa Ndoa, Tafuta mganga konki acha uzembe, kama kayataka yeye mfanye chizi kwa mwaka mmoja uone kama ataendelea na huo ujinga. Mwanamke sio wa kumuonea huruma hasa akifika hatua ya mahakama au police, au alogwe aumwe hata 6 months bila kutembea na usiende kumuona wala kupiga simu hao Mbwa usiwaonee huruma, unaweza kukodi shangingi wamsute 🤣🤣🤣
 
Nenda mahakami mtatengwa kwa miaka miwili mkajitafakari. Kisha baada ya muda huo wa miaka miwili ndo mtarudi tena ikiwa mmeendelea na mpango wenu wa kuachana hapo sasa ndipo mtaachanishwa lakini ikiwa mmeufuta mpango huo mkawa maishi pamoja basi ndoa yenu itaendelea.
Na kama mmeendelea kutengana kwa kipindu hicho itatolewa talaka. Na ndipo ifuate mgawanyo wa mlivyo vichuma bila kujali mme zaa au hamja zaa. Hakuna cha nyumba ya watoto hapo
 
Hucheki na wowote😀😀
 
Kuna time nawaza haya , na kuna mwamba jamaa yangu kanambia nifanye hii, akasema nitafute mahala alipokanyaga nyayo zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…