min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hao wajinga watawasumbua sana ila ukiwa mtu wakujua ubongo wako unataka nini na furaha yako ipo wapo hautasumbuka.One man down 🙌🏾🙌🏾😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wajinga watawasumbua sana ila ukiwa mtu wakujua ubongo wako unataka nini na furaha yako ipo wapo hautasumbuka.One man down 🙌🏾🙌🏾😂😂
Once again,, one man down we endelea kukaza fuvu ivo ivo 😂Hao wajinga watawasumbua sana ila ukiwa mtu wakujua ubongo wako unataka nini na furaha yako ipo wapo hautasumbuka.
Tafuta mwanasheria, japo haitabadili kitu ili walau akusaidie kujibu maswali mengine.
Hawa wanawake watawaua.
Pole mwanangu.
Mimi ni kidume , tena sihitaji kujieleza zaidi kwa sababu huku moshi kwetu nikifika wanasema kidume cha mbegu kimefika🤣🤣🤣🤣🤣🤣Once again,, one man down we endelea kukaza fuvu ivo ivo 😂
Haitabadili kitu ki vipi madam?Tafuta mwanasheria, japo haitabadili kitu ili walau akusaidie kujibu maswali mengine.
Hawa wanawake watawaua.
Pole mwanangu.
Duh nenda mahamakami na pia ueleze sababu ya kumpiga .video alirekodiwa analiwa au?Na tena katika miaka yetu 15, nimempiga mara hiyo 1 tu, na sikumtoa hata ngeu wala damu wala kumvunja popote.
UshapigwaAcha tu kuna kipindi tulinunua kiwanja mm nilikuwa naishi mkoa mwingine na yeye mkoa mwingine sasa kutokana na kumuamini sikuwahi kumuuliza kuhusu document za hicho kiwanja. Hivi karibuni nikauliza nimepigwa kalenda miez kadhaa sasa juz juz ananionyesha hizo document nakuta kajiandika yeye tu
"Ex parte judgment"Mahakama itatoa uamuzi kwa kusikiliza upande mmoja na wewe ambaye hujaonekana itachukuliwa kama umekubaliana na kila alichokisema mshtaki wako
Hii inaitwa ex-parte decision
Hazimuhusu,,,,zitamuhusu tu zile ambazo mlipata mkiwa wote kwenye ndoaHivi kwa nia ya kujifunza.
Kama umeoa mfano mwanamke akakuta una nyumba,gari na assets zingine.
Mbele ya safari likija swala la talaka hizi mali alizokuta zinamhusu kwenye kugawana?
Mkuu acha kuwa dhaifu linapo kuja kwenye suala la taraka mwanaume ana nguvu ya kuigomea, na ww mwanaume ukisha gomea taraka mwanamke atalazimika atoe sababu za msingi za kuivunja iyo ndoa tena ziwe na ushahidi wa kutosha asipo toa sababu zenye mashiko mahakama haiwezi kuivunja iyo ndoa.Dahh..yan mkuu siku hiz nasoma soma sana hiz sheria za ndoa na scennarios za kesi zake.. huyu mama kajua kuninyoosha vibaya mnooo
Akaandike wapi? Mdau kaomba ushauri wa kisheria wewe unaleta story ya mtaani!Nyumba andikia watoto sepa mbele hata usipofika mahakamani
Ili kumkomesha anatakiwa akifika mahakamani agomee taraka.Tafuta mwanasheria, japo haitabadili kitu ili walau akusaidie kujibu maswali mengine.
Hawa wanawake watawaua.
Pole mwanangu.
Mkuu cheki na Bashir Yakub huyu jamaa ni mjuvi sana wa hizi kesi na huwa anaandika mpaka magazetini na pia ni member humuWakuu heshima kwenu.
Habari za jioni, poleni na majukumu (kwa wale wenye majukukumu).
Naomba kufahamishwa KISHERIA kama kichwa cha uzi kimavyojieleza.
Mi hivi, baada ya mgogoro wa ghafla sana (only 2 months now) na vurugu zilizofuata hapo, hatimae mke wangu ame file kesi mahakama ya mwanzo jii ya dai la talaka.
Nimepogiwa simu siku kadhaa zimepita sasa kitaarifiwa pia kitakiwa kuchukua wito "samansi" wa mahakama juu ya kesi husika na kweli nikachukua.
Charges ambazo nimekuta zimeainishwa ni kama 4 hivi ikiwemo
- talaka
- mgawanyo wa mali
- matunzo ya watoto
- kuishi na watoto
Sasa katika maisha yetu tulifanikiwa kijenga nyumba , kuwa na kiwanja pia usafiri ndio angalau kwa uchache vitu vya kueleweka.
Wazo langu mimi ni kwamba, sitaki habar za kugombania kitu na huyu mama ambaye mpaka sasa alishachukua watoto na kwenda kupanga mtaani.
Na mi pia nikaamua kuhamisha harakati zangu mkoani kulingana na nature ya shughul zangu.
Hivyo sina mpango wa kugombania mali wala chochote katika vyote tulivyo navyo.
Moja ya vipengele nimesoma kwenye hii samansi ya mahakama inasema "endapo mdaiwa /mlalamikiwa (mimi yani ) hatafika mahakamani , shauri litasomwa na kusikilizwa upande mmoja bila mimi kuwepo.
Sasa naomba kufahamu, kisheria kama nitaamua KUTOONEKANA mahakamani siku hiyo, je ,nitakua nimetemda UHALIFU ambao unaweza kunigharimu??
Naomba kusaidowa ufafanuzi.
Ahsanten
Mwamba anakwama wapi sijui? Act as a man, usiwe rege rege iyo tayari ni vita mkuu jipange na ubebe siraha zote maana upande wa pili ushajipanga hayupo tayari kurud nyuma mkuuMkuu acha kuwa dhaifu linapo kuja kwenye suala la taraka mwanaume ana nguvu ya kuigomea, na ww mwanaume ukisha gomea taraka mwanamke atalazimika atoe sababu za msingi za kuivunja iyo ndoa tena ziwe na ushahidi wa kutosha asipo toa sababu zenye mashiko mahakama haiwezi kuivunja iyo ndoa.
Nilipiga sana namba yake last saturday, hazikupokelewaMkuu cheki na Bashir Yakub huyu jamaa ni mjuvi sana wa hizi kesi na huwa anaandika mpaka magazetini na pia ni member humu