Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?

Kwahiyo una maanisha kwamba talaka mahakama huwa haivunji ndoa instantly huvyo kwenye shauri la kwanza tu??
 
Nani kamwambia ukioa mke wa nyumbani hamgawani mkuu?
 
Nadhani anaogopa mahakama alafu wenda ana uwelewa mdogo wa sheria.
Hili nakubali ni kweli, sijawah kukumbana na misuko suko ya kisheria maisha yangu yote
Sheria ya kutoa taraka ni ngumu sana na sio rahisi kama wengi wanavyo fikiri.

La msingi akifika mahakamani agome kutoa taraka na aseme kuwa bado ana mpenda mke wake,nakuambia mwanamke atasota mahakama mpaka achakae.
Kwahiyo unamaanisha mmoja akionyesha kuwa bado anataka ndoa isife, mahakama haitavunja ndoa?
Sio kwamba watakua wanamkosea mmoja kwa kutaka kulazimisha aishi na mtu asiyemtaka??
 
ushauri wa maana sana huu kwa faida yake.
 
Mkuu ww ukifika mahakamani goma kutoa taraka, sheria ya kudai taraka huwa ni ngumu ,kuna watu wana kesi za kudai taraka mpaka sasa wanasota mahakamani miaka 5 na hawajaipata acha uoga.
Nimekusoma mkuu, ahsante sana
 
Nilishakileta humu kisa na hata kwenye comments humu watu wameukiza na nimewajibu
 
safi sana mkuu
 
Usigomee kutoa talaka hiyo ni sawa na kukumbatia transfoma we malizana nae chap. siku akizidiwa huko anakopewa kiburi atarudi kwa sababu hukumpa talaka na wewe hutaweza kusonga mbele iwe ni kuoa tena maana akikukuta mahali na demu anafanya fumanizi itakusumbua sana au kutafuta mali zingine.
 
Mke anagaiwa mali zote
 
Inapo tokea mmoja wao akakataa taraka mantiki ya kesi husika ina badilika kabisa.
Ukisha gomea kutoa talaka mtoa mashitaka ambaye ni mkeo atalazimika kuiomba mahakama ikulazimishe ww kutoa taraka hapo ndo kimbembe kilipo.

Ili mahakama ikulazimishe umpe taraka anatakiwa atoe sababu nzito na za msingi tena ziwe na ushahidi usio kuwa na shaka kudai taraka hiyo, tofauti na hapo sio rahisi kuvunja ndoa.
 

Kuna condition mnaweza kugawana Kama tu utamshirikisha uwepo wa hiyo Mali...pia mnaweza msigawane Kama hutamshirikisha uwepo wa hivyo vitu.
Mkuu fafanua zaidi..
Mfano nyumba,it's obvious hata bila kumshirikisha inajulikana wazi.

Tuchukulie mfano huo,Je kama kaingia ndoani nikiwa nimekwishajenga itahusika kwenye kugawana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…