makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Wakati mwingine mawazo mazuri huja wakati unafanya vitu vidogo vidogo.. Mfano wakt unaoga, wakat unapika n.kWasithubutu kumruhusu apike.Akiungua na mafuta watatueleza walikuwa wapi.Mama saa hizi anawaza mambo mazito ya namna gani afanye wepesi wa maisha ya Watanzania na upendo uirudie jamii.
GentlemanFirst Gentlemen
Subiri Kwanza tumalize maombolezo.Jamani yaani hata mwezi haujaisha toka mama ashike nchi mmeshaanza ufukunyuzi .Wakuu Kwema?
Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa....
Nasikia yule mwamba ni Afisa kilimo by professional.Actually tunahitaji hata kumjua ni nani. Kama vile tunavyowajua Mama Maria Nyerere, Mama Sitti Mwinyi, Mama Anna Mkapa, Mama Salma Kikwete, Mama Janet Magufuli.
Aisee kumbe Hawa wote wapo......Actually tunahitaji hata kumjua ni nani. Kama vile tunavyowajua Mama Maria Nyerere, Mama Sitti Mwinyi, Mama Anna Mkapa, Mama Salma Kikwete, Mama Janet Magufuli.
Acha kudanganya watu! Majukumu ya Mama Samia kwa mme wake labda chumbani tu! Mengine yote yatafanywa na wasaidizi special! Huwezi kuta eti Mama Samia anachelewa kwenda sehemu kisa alikua anampikia,au anamfulia nguo mme wake!! Haipo kamwe!
Kuna siku alikua anahojiwa Mama Samia,kipindi akiwa VP alisema kabisa hua anapenda kufanya kazi ndogo ndogo za nyumbani,lakini kila akigusa tu,anaambiwa na wasaidizi wake Mama acha tu,tutafanya sisi! Sasa hivi kawa Rais, majukumu ndiyo yamekua mengi zaidi!!
Halafu wewe si ulikua team Magu,kila kitu unasifia tu,umeona Mungu alivyo! Na Mama nina imani kabisa ujinga wa kusifu na kuabudi ataupiga marufuku! Na kama atapenda kufanya kazi kwa uhuru,ile chain ya Magufuli,aipige chini yote! La sivyo watamsumbua sana! CCM chotara kazi wanayo
Kwanza naomba niungane na watanzania wenzangu kuomboleza kifo cha mpendwa wetu JPM,sisi tulimpenda ila M/Mungu kampenda zaidi hivo apumzike kwa amani.Wapendwa mimi swali langu ni kuwa, rais anapo ingia madarakani,akiwa mwanamme mke wake anaitwa first lady,je anapokuwa rais ni mwanamke je mme wake anaitwaje?ahsanteni.
Hivi akishika ujauzito, atajisikilizia kwanza kipindi hiko majukumu yote atafanya makamu wake au vipi???? , na mtoto akizaliwa itabidi aitwe Tanzania kwani itakuwa ndiyo kumbukumbu pekee ya kwanza kwa Tanzania kuanzishwa
Majukumu yanaeleweka ni kumpa mambo! watembee wote ama la haituhusu, kitu bokolo we VP? Au anda naini nini?Wakuu Kwema?
Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa.
Sasa baada ya kuwa na Rais Mwanamke, nini yatakuwa majukumu ya Mumewe?
Je, naye atakuwa anaandamana na Mkewe (Rais) kila anapoenda?
Mwenye kufahamu hili msaada please.
Hata vibao Madam au inakuwa vipi..Walinzi wanakuwa upande upi panapo rabsha ya kindoa?Samia Suluhu Hassan ni Rais mtendaji na kiongozi mkuu wa serikali lakini haimuondolei kuwa mke kwa mume wake na mama kwa watoto
Majukumu ya mume kwa Samia yapo palepale na majukumu ya Samia kwa mume hayajabadilika
Urais ni Ofisini
Hata vibao Madam au inakuwa vipi..Walinzi wanakuwa upande upi panapo rabsha ya kindoa?
Kwa Chumbani ikitokea inakuwa vipi sasa Madam?Siwezi kukujibu kuhusu rabsha za kindoa sababu najua ndoa ni furaha sio vita
Kupishana maneno kwaweza tokea chumbani sio barazani
Na mara nyingi hizo zinazoitwa rabsha za barazani zinachochewa na wanandoa kuwa idle bila majukumu ya kutosha, ujinga, umaskini, au kutokujua majukumu baina ya wanandoa. Hivi vyote mama Samia na baba Hafidhi wameshavishinda
Kikua utajua😀😀😀😀Kwa Chumbani ikitokea inakuwa vipi sasa Madam?