Acha kudanganya watu! Majukumu ya Mama Samia kwa mme wake labda chumbani tu! Mengine yote yatafanywa na wasaidizi special! Huwezi kuta eti Mama Samia anachelewa kwenda sehemu kisa alikua anampikia,au anamfulia nguo mme wake!! Haipo kamwe!
Kuna siku alikua anahojiwa Mama Samia,kipindi akiwa VP alisema kabisa hua anapenda kufanya kazi ndogo ndogo za nyumbani,lakini kila akigusa tu,anaambiwa na wasaidizi wake Mama acha tu,tutafanya sisi! Sasa hivi kawa Rais, majukumu ndiyo yamekua mengi zaidi!!
Halafu wewe si ulikua team Magu,kila kitu unasifia tu,umeona Mungu alivyo! Na Mama nina imani kabisa ujinga wa kusifu na kuabudi ataupiga marufuku! Na kama atapenda kufanya kazi kwa uhuru,ile chain ya Magufuli,aipige chini yote! La sivyo watamsumbua sana! CCM chotara kazi wanayo