Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Wasithubutu kumruhusu apike.Akiungua na mafuta watatueleza walikuwa wapi.Mama saa hizi anawaza mambo mazito ya namna gani afanye wepesi wa maisha ya Watanzania na upendo uirudie jamii.
Wakati mwingine mawazo mazuri huja wakati unafanya vitu vidogo vidogo.. Mfano wakt unaoga, wakat unapika n.k
 
Wakuu Kwema?

Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa....
Subiri Kwanza tumalize maombolezo.Jamani yaani hata mwezi haujaisha toka mama ashike nchi mmeshaanza ufukunyuzi .
 
Actually tunahitaji hata kumjua ni nani. Kama vile tunavyowajua Mama Maria Nyerere, Mama Sitti Mwinyi, Mama Anna Mkapa, Mama Salma Kikwete, Mama Janet Magufuli.
Nasikia yule mwamba ni Afisa kilimo by professional.
 
Actually tunahitaji hata kumjua ni nani. Kama vile tunavyowajua Mama Maria Nyerere, Mama Sitti Mwinyi, Mama Anna Mkapa, Mama Salma Kikwete, Mama Janet Magufuli.
Aisee kumbe Hawa wote wapo......
 
Acha kudanganya watu! Majukumu ya Mama Samia kwa mme wake labda chumbani tu! Mengine yote yatafanywa na wasaidizi special! Huwezi kuta eti Mama Samia anachelewa kwenda sehemu kisa alikua anampikia,au anamfulia nguo mme wake!! Haipo kamwe!

Kuna siku alikua anahojiwa Mama Samia,kipindi akiwa VP alisema kabisa hua anapenda kufanya kazi ndogo ndogo za nyumbani,lakini kila akigusa tu,anaambiwa na wasaidizi wake Mama acha tu,tutafanya sisi! Sasa hivi kawa Rais, majukumu ndiyo yamekua mengi zaidi!!

Halafu wewe si ulikua team Magu,kila kitu unasifia tu,umeona Mungu alivyo! Na Mama nina imani kabisa ujinga wa kusifu na kuabudi ataupiga marufuku! Na kama atapenda kufanya kazi kwa uhuru,ile chain ya Magufuli,aipige chini yote! La sivyo watamsumbua sana! CCM chotara kazi wanayo

Dah pole sana kwa mawazo yako madogo, kwanza elewa kila ndoa ina taratibu zake za ndani.

Wakati wewe Mangungu unaoa mke ili akufulie na kukupikia kwa mikono yake, wanaume wengine wanataka mke asimamie tuu hayo kwa kuhakikisha yanafanyika sawasawa ila hataki wake zao watumie muda na nguvu zao kwenye hizo kazi.

Halafu akili zako bwana eti team Magu😎 Kwa taarifa yako tuu naikubali serikali yangu kuanzia mwenyekiti wangu wa nyumba10 hadi alipokua Magu na sasa Samia

Serikali ni taasisi na sio mtu, ndio maana John Pombe Magufuli alijua akamchagua kiongozi makini Samia Suluhu Hassan kuwa msaidizi wake mara2. Unachokiwaza utasubiri sana
 
Kwanza naomba niungane na watanzania wenzangu kuomboleza kifo cha mpendwa wetu JPM,sisi tulimpenda ila M/Mungu kampenda zaidi hivo apumzike kwa amani.Wapendwa mimi swali langu ni kuwa, rais anapo ingia madarakani,akiwa mwanamme mke wake anaitwa first lady,je anapokuwa rais ni mwanamke je mme wake anaitwaje?ahsanteni.
 
Anaitwa: First gentleman.
 
Hivi akishika ujauzito, atajisikilizia kwanza kipindi hiko majukumu yote atafanya makamu wake au vipi???? , na mtoto akizaliwa itabidi aitwe Tanzania kwani itakuwa ndiyo kumbukumbu pekee ya kwanza kwa Tanzania kuanzishwa

Ana 60yrs....
 
Wakuu Kwema?

Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa.

Sasa baada ya kuwa na Rais Mwanamke, nini yatakuwa majukumu ya Mumewe?

Je, naye atakuwa anaandamana na Mkewe (Rais) kila anapoenda?

Mwenye kufahamu hili msaada please.
Majukumu yanaeleweka ni kumpa mambo! watembee wote ama la haituhusu, kitu bokolo we VP? Au anda naini nini?
 
Samia Suluhu Hassan ni Rais mtendaji na kiongozi mkuu wa serikali lakini haimuondolei kuwa mke kwa mume wake na mama kwa watoto

Majukumu ya mume kwa Samia yapo palepale na majukumu ya Samia kwa mume hayajabadilika

Urais ni Ofisini
Hata vibao Madam au inakuwa vipi..Walinzi wanakuwa upande upi panapo rabsha ya kindoa?
 
Hata vibao Madam au inakuwa vipi..Walinzi wanakuwa upande upi panapo rabsha ya kindoa?

Siwezi kukujibu kuhusu rabsha za kindoa sababu najua ndoa ni furaha sio vita
Kupishana maneno kwaweza tokea chumbani sio barazani

Na mara nyingi hizo zinazoitwa rabsha za barazani zinachochewa na wanandoa kuwa idle bila majukumu ya kutosha, ujinga, umaskini, au kutokujua majukumu baina ya wanandoa. Hivi vyote mama Samia na baba Hafidhi wameshavishinda
 
Kwa Chumbani ikitokea inakuwa vipi sasa Madam?
 
Back
Top Bottom