Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sijui hata mimi ila vikipikwa na anayevijulia ni bonge la msosiKwanini Makande na Dagaa ndio huwekwa kwenye fungu la vyakula duni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui hata mimi ila vikipikwa na anayevijulia ni bonge la msosiKwanini Makande na Dagaa ndio huwekwa kwenye fungu la vyakula duni?
Hafidh atakuwa na bi mdogo bana. Sio kwa majukumu yote.Kupika ni jambo hatarishi kwa usalama wake.
Huyo mume bwana Hafidh atakula vya wengine tu hadi pale urais utakapo koma
First GentlemenKwa mujibu wa Itifaki inafahamika ya kuwa endapo Rais wa nchi ni mwanamume mke wake atafahamika kama First Lady ( kiswahili rasmi sijui anaitwaje )
Lakini kama Rais wa nchi ni Mwanamke mumewe anaitwa nani?
Ikumbukwe Tanzania ilikuwa na First Lady kuanzia Maria Nyerere, Siti Mwinyi, Anna Mkapa, Salma Kikwete, na aliyepita leo Machi 19 2021 Janet Magufuli.
Samia Suluhu Hassan tayari ameshaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, mumewe ni Hafidh Ameir, Kiitifaki anaitwa nani? Na atakuwa anaongozana na Mh Rais katika ziara za kikazi?
Baba SamiaActually tunahitaji hata kumjua ni Nani. Kama vile tunavyowajua Mama Maria Nyerere, Mama Sitti Mwinyi, Mama Anna Mkapa, Mama Salma Kikwete, Mama Janet Magufuli.
Nimeshatoa advance ya ukumbi, kamati ya harusi imeshapatikana ila ndio hivyo Tena Sina mchumba. Kama una hausigeli ana tabia nzuri nipe connectionHadi nimesisimka...samahani bro..umeoa??
Hahahahahhahahahahaa....hahahahahahhaha...hahahahahhaa...bujiku mkeo atakuwa ana raha sana .maana ww muda wote uko funny ..msalimie sayakiki😅...Nimeshatoa advance ya ukumbi, kamati ya harusi imeshapatikana ila ndio hivyo Tena Sina mchumba. Kama una hausigeli ana tabia nzuri nipe connection
😅😅WHY NOT? ANAPATA TUKwamfano mama Samia akizingua ndani kiburi kwa mumewe,Mzee Ameir anaweza mnasa vibao vichache vya kumuweka sawa mkewe kama Dini ya kiislam inavyoelekeza?
Pole na Corona. Ugonjwa una gubu huu, ukiusema vibaya tu, unakumaliza. Niko Melela kwa Wamasai wanapochoma mbuziHahahaa...huko mie nahis niliibeba corona..lol...karibu sana!
wel said; hata yeye anakubali. Msikilize hapaSamia Suluhu Hassan ni rais mtendaji na kiongozi mkuu wa serikali lakini haimuondolei kuwa mke kwa mume wake na mama kwa watoto
Majukumu ya mume kwa Samia yapo palepale na majukumu ya Samia kwa mume hayajabadilika
Urais ni Officin