Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Kwa mujibu wa Itifaki inafahamika ya kuwa endapo Rais wa nchi ni mwanamume mke wake atafahamika kama First Lady (Kiswahili rasmi sijui anaitwaje). Lakini kama Rais wa nchi ni Mwanamke mumewe anaitwa nani?

Ikumbukwe Tanzania ilikuwa na First Lady kuanzia Maria Nyerere, Siti Mwinyi, Anna Mkapa, Salma Kikwete, na aliyepita leo Machi 19 2021 Janet Magufuli.

Samia Suluhu Hassan tayari ameshaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, mumewe ni Hafidh Ameir, Kiitifaki anaitwa nani? Na atakuwa anaongozana na Mh Rais katika ziara za kikazi?
 
Kwa mujibu wa Itifaki inafahamika ya kuwa endapo Rais wa nchi ni mwanamume mke wake atafahamika kama First Lady ( kiswahili rasmi sijui anaitwaje )
Lakini kama Rais wa nchi ni Mwanamke mumewe anaitwa nani?

Ikumbukwe Tanzania ilikuwa na First Lady kuanzia Maria Nyerere, Siti Mwinyi, Anna Mkapa, Salma Kikwete, na aliyepita leo Machi 19 2021 Janet Magufuli.

Samia Suluhu Hassan tayari ameshaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, mumewe ni Hafidh Ameir, Kiitifaki anaitwa nani? Na atakuwa anaongozana na Mh Rais katika ziara za kikazi?
First Gentlemen
 
Nlikuwa nauliza tu hivi hapo mume wa Rais ataitwaje?

First gentlemen

First man

Au ni vipi?
 
Anawasalimia, ikulu ileee
162194598_781752572437790_7451961250383128712_o.jpg
 
Nimeshatoa advance ya ukumbi, kamati ya harusi imeshapatikana ila ndio hivyo Tena Sina mchumba. Kama una hausigeli ana tabia nzuri nipe connection
Hahahahahhahahahahaa....hahahahahahhaha...hahahahahhaa...bujiku mkeo atakuwa ana raha sana .maana ww muda wote uko funny ..msalimie sayakiki😅...
 
Hivi mumewe alikuepo pale katika tukio la kuapishwa?
 
Ni sehemu ya mshauri wa Rais Katika sura ya uongozi wa huyu mama kutakuwa na mchango mkubwa Sana wa mumewe
 
Ni sehemu ya mshauri wa rais Katika sura ya uongozi wa huyu mama kutakuwa na mchango mkubwa Sana wa mumewe
Kwa hiyo kama ni employee somewhere itabidi aachie ngazi?
 
Sema, chumba kinaweza kuwa kidogo kama Mh.Rais Samia Suluhu ataanza mambo ya kulala na Mafaili kama ilivyokuwa kwa bosi wake wa zamani
 
Samia Suluhu Hassan ni rais mtendaji na kiongozi mkuu wa serikali lakini haimuondolei kuwa mke kwa mume wake na mama kwa watoto

Majukumu ya mume kwa Samia yapo palepale na majukumu ya Samia kwa mume hayajabadilika

Urais ni Officin
wel said; hata yeye anakubali. Msikilize hapa
 
Back
Top Bottom