Niombe wapinzani wa kweli kweli wawe wanasoma hili jukwaa ili sera zao zipate madini Safi kutoka humu.Sijui kwanini wabunge huwa hawapigii kelele mambo kama haya yanayomgusa kila Mtanzania wa chini. Hii pia ni kete nzuri mno kwa wapinzani ila hawaitumii vizuri. Sijajua kwanini.