Nini nifanye au nisifanye nikienda kutazama mechi ya mpira wa miguu kwa mara ya kwanza 🇧🇷🇳🇴?

Nini nifanye au nisifanye nikienda kutazama mechi ya mpira wa miguu kwa mara ya kwanza 🇧🇷🇳🇴?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Nina maswali kwa mashabiki wa kombe la dunia na mpira wa miguu kwa ujumla, leo ninaenda kuangalia mpira wa miguu nje ya nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza;
  1. Vitu gani ambavyo sisi tunaokuja kuwapa kampani ila si mashabiki wa mpira mnapenda tusifanye?

  2. Vitu gani tukivifanya mnafurahia?

  3. Leo unashabikia timu gani na kwanini? mimi niko team 🇧🇷 (sina sababu maalum zaidi ya kwamba timu ya Brazil ina wachezaji weusi 😎)


    -brazil-vs-norway.jpg
 

Attachments

  • Brazil Vs Norway.jpg
    Brazil Vs Norway.jpg
    108 KB · Views: 19
Natamani kweli nianze kufuatilia mpira, naona kama napitwa...

Ila sijui nianzie wapi kwa kweli.

Hizi world cup za kukesha usiku nazo sizielewi elewi.
Huna marafiki au ndugu wanaopenda mpira? kama inawezekana anza kuangalia nao mechi.

Hata mimi si mpenzi ila leo nitajaribu, hapa mchawi wangu ni usingizi tu 🤦🏽‍♀️
 
Hizi nyuzi za kianithi mbona zimekuwa nyingi hapa jf ?hakuna set ya kuzuia nyuzi usizo zitaka ?🤔
 
Hamna kitu napenda Kama nikae na mtu ambaye hajui mpira niwe namuelekeza mpaka aelewe

Huwa najiona dr Leakey
Mi kuna game huwa sipendi bugdha kabisa, nikiwa nacheki game ya Arsenal huwa sipendi shida hata simu huwa napokea ya wazazi, au simu ya najua hii itakuwa ya mchongo wa hela ila kama sio sipokei kabisa 😁
 
Mi kuna game huwa sipendi bugdha kabisa, nikiwa nacheki game ya Arsenal huwa sipendi shida hata simu huwa napokea ya wazazi, au simu ya najua hii itakuwa ya mchongo wa hela ila kama sio sipokei kabisa 😁
Ila kuna ka ukweli mambo ya kuulizana “ mbona huyu anayewapa wenzake kadi hapewi pasi” inakuwaga kipengele
 
We ukiona wachezaj wameingia uwanjani shangilia, golikipa akidaka mpira haijalish ni norway au brazil we piga yowe tu, mtu akipigwa tobo foka kinomanoma, lefari ukiona ameenda kutaza VAR we simama waka ******* tena kwa kukaza misuri. mchezo ukiisha kua mpole rudi nyumbani ukalale kesho ni ureno
 
Back
Top Bottom