Nini nifanye au nisifanye nikienda kutazama mechi ya mpira wa miguu kwa mara ya kwanza 🇧🇷🇳🇴?

Nini nifanye au nisifanye nikienda kutazama mechi ya mpira wa miguu kwa mara ya kwanza 🇧🇷🇳🇴?

Hizi nyuzi za kianithi mbona zimekuwa nyingi hapa jf ?hakuna set ya kuzuia nyuzi usizo zitaka ?🤔
Ondoka JF, si lazima uwepo

200.gif
 
Mi kuna game huwa sipendi bugdha kabisa, nikiwa nacheki game ya Arsenal huwa sipendi shida hata simu huwa napokea ya wazazi, au simu ya najua hii itakuwa ya mchongo wa hela ila kama sio sipokei kabisa 😁
Kwanini huwezi kuongea na simu wakati unaangalia tu na siyo kwamba upo katikati ya mechi unatumika 😅
 
We ukiona wachezaj wameingia uwanjani shangilia, golikipa akidaka mpira haijalish ni norway au brazil we piga yowe tu, mtu akipigwa tobo foka kinomanoma, lefari ukiona ameenda kutaza VAR we simama waka ******* tena kwa kukaza misuri. mchezo ukiisha kua mpole rudi nyumbani ukalale kesho ni ureno
Mmmh mbona kama unanipoteza 🤣
 
Back
Top Bottom