1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
Brazil ni ile ya watu wa kaZi akina R carlos, Rivaldo, Ronaldo de lima luiz Nazario 😄, sio hawa walamba lips
At least wamepata moja 🥲 watu wote nilionao hapa wanampenda huyo Haaland 🙁 so wamefurahiKaishatoka sidhani kama atafunga na dakika ndo zinaisha hivyo, kafungwa na la pili
tushazoea inauma kwa dakika kama 30 halafu unapotezeaThis is too stressful 😥 mnawezaje kila wiki?
Pole kwa Brazil, wamejaribu 💪🏽 ila goli la pili akawapiga tobo siyo poa 🙃Harland anapiga ngoma sasa (samba)
Asante mpwa, mechi nzima nimeona kadi moja tu imetolewa ila mbona kama mitama au hizo rafu wamefanyiana nyingi zaidi?Referee si unamjua ?
Msimamizi wa mechi huwa Ana kadi mbili ikitokea umefanya makosa uwanjani au kumchezea rafu (faulo) mchezaji mwingine
Kadi ya njano ikiwa Kama onyo au tukio likiwa halina madhara makubwa
Na nyekundu ikiwa kuna athari au madhara makubwa kwa tukio husika
Ukisikia goal kick Kwenye mechi, Ndo huyo jamaa hapoNilijua ndiyo yeye, sasa huyo naye ni nani? na mbona yeye hapigi mashuti?
Ili upate kadi mpaka uwekewe mguu wa shingo na mguu wa roho huskiagi hiyoAsante mpwa, mechi nzima nimeona kadi moja tu imetolewa ila mbona kama mitama au hizo rafu wamefanyiana nyingi zaidi?
Wewe ndiyo umenichanganya kabisa, mguu wa shingo na wa roho ndiyo kitu gani tena?Ili upate kadi mpaka uwekewe mguu wa shingo na mguu wa roho huskiagi hiyo
Neymar kapiga penalty nzuri, demu wako ana haki kabisa ya kumpenda!Demu wangu anaipenda Brazil kwasabab ya mlamba lips neymer ananiambia mm Nina sura ya goti😬😬
Ndoo inakua total booking katika mchezoWewe ndiyo umenichanganya kabisa, mguu wa shingo na wa roho ndiyo kitu gani tena?
Tumia lugha nyepesi basi!!Ndoo inakua total booking katika mchezo
Hapa nilipo sijayasikia kabisa hayo matusi, ila kelele sana wachezaji wakikosa magoli!Una*o*bwa nn?
Hayo matusi utayasikia sana 😄
Siyo mpenzi wa pombe 🙃We Cha msingi agiza Hennessy chupa nne na na hakikisha zote zimeisha kabla ya hydration break ya kwanza,wapige hasara mpira sio shida zako
Kwenye vibanda umiza ndiyo zile kumbi zenye TV tu ndani au?Ni bora uangalie nyumbani tu, au nenda kwenye Bar ila kwenye vibanda umiza utakutana na matusi ambayo hujawahi kusikia 😁
Mpira una matokeo ya kuumiza sana hasa wakamariaNdoo inakua total booking katika mchezo
Wewe chako huwa unakulindaje?Lazima kiungo pendwa kilindwe kwa hali na mali.
Yeah, pole yao 🇧🇷🇧🇷🇧🇷Mpira una matokeo ya kuumiza sana hasa wakamaria
Subiri subiri kwa englandYeah, pole yao 🇧🇷🇧🇷🇧🇷