Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #101
Wanacheza na nani?Subiri subiri kwa england
Wanacheza na nani?Subiri subiri kwa england
Mexico 🇲🇽Wanacheza na nani?
Unashabikia ipi?Mexico 🇲🇽
England kuna jamaa anaitwa hanry kane pale ni hatariUnashabikia ipi?
Kushangilia mpira kisa rangi ya wachezaji nao ni ubaguzi.Nina maswali kwa mashabiki wa kombe la dunia na mpira wa miguu kwa ujumla, leo ninaenda kuangalia mpira wa miguu nje ya nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza;
- Vitu gani ambavyo sisi tunaokuja kuwapa kampani ila si mashabiki wa mpira mnapenda tusifanye?
- Vitu gani tukivifanya mnafurahia?
- Leo unashabikia timu gani na kwanini? mimi niko team 🇧🇷 (sina sababu maalum zaidi ya kwamba timu ya Brazil ina wachezaji weusi 😎)
View attachment 3623385
Ndo hzo humu wapo watu wa kila ainaKwenye vibanda umiza ndiyo zile kumbi zenye TV tu ndani au?
Ataishia kumuona kwa tv tu m ndo namkojoza had anaililia😋Neymar kapiga penalty nzuri, demu wako ana haki kabisa ya kumpenda!
PoleUtamu mara 2 , ngoja 🇧🇷🇧🇷 wafunge kwanza 😅
Mimi si dume? Nyie yenu ni mgodi unaotembea.Wewe chako huwa unakulindaje?