Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
kwenye kupambania mpira kuna muda inabidi utumie nguvu kidogo ili uweze kuupata
Dr. Leakykwenye kupambania mpira kuna muda inabidi utumie nguvu kidogo ili uweze kuupata
Na sehemu nyengine wanacheza hivyo ili kumzuia mpinzani ikiwa anataka kuleta madhara
Halafu mengine relate na ya chumbani tu kwani huchezagi rafu wewe ?
Nasubiria maswali yafike matatu Kama haya ni logout wiki nzima 😂🙌🏾Dr. Leaky
Sana, tena hasa mechi ikiwa wanashambuliana sanaNimeanza kumuelewa dosho12 kwenye hili swala la kufocus, naona mambo ni mengi sana uwanjani
View attachment 3623491
Sawa, nimeelewa ila ni violent 🙃kwenye kupambania mpira kuna muda inabidi utumie nguvu kidogo ili uweze kuupata
Na sehemu nyengine wanacheza hivyo ili kumzuia mpinzani ikiwa anataka kuleta madhar
🤣🤣 ukamuulize mwenyewe uncle wako kama namchezeaga rafu 😎Halafu mengine relate na ya chumbani tu kwani huchezagi rafu wewe ?
Kwanini? so far naona 🇧🇷 wanacheza vizuri japo wamekosa penatiNasubiria maswali yafike matatu Kama haya ni logout wiki nzima 😂🙌🏾
Na Norway wapo vizuri muda wowote timu yoyote inaweza pata goliKwanini? so far naona 🇧🇷 wanacheza vizuri japo wamekosa penati
Au aulize Hivi brazil kaishacheza na barcelona au wanacheza liniUliza hv, huyo jamaa aliyevaa nguo nyeusi uwanjani ndio Ronaldo?
Nilijua ndiyo yeye, sasa huyo naye ni nani? na mbona yeye hapigi mashuti?Uliza hv, huyo jamaa aliyevaa nguo nyeusi uwanjani ndio Ronaldo?
Daaah 🇧🇷 wamekosa goli 🥲🥲🥲🥲Na Norway wapo vizuri muda wowote timu yoyote inaweza pata goli
Utamu mara 2 , ngoja 🇧🇷🇧🇷 wafunge kwanza 😅Usizidishe amarula ukaanza kuzagamuana na Mr humo humo lounge
Siyo fair kwa my Brazil 🇧🇷🥲🥲🥲🥲Alafu Ukifunga na kichwa linahesabika kama goli mbili
Kaishatoka sidhani kama atafunga na dakika ndo zinaisha hivyo, kafungwa na la piliSiyo fair kwa my Brazil 🇧🇷🥲🥲🥲🥲
This is too stressful 😥 mnawezaje kila wiki?Kaishatoka sidhani kama atafunga na dakika ndo zinaisha hivyo, kafungwa na la pili