Referee si unamjua ?Kadi gani tena mbona mmeanza kunichanganya?
ignore member anaependelea kupost mashudu, mimi niliigonore TlaatlaahHizi nyuzi za kianithi mbona zimekuwa nyingi hapa jf ?hakuna set ya kuzuia nyuzi usizo zitaka ?🤔
Nyie ndio tunawavalia earphones 😂😂😂ningekuwa nakufuata mpaka unapokaa kama haupo nakusubiri 😁
Lile kuzuiw tabu na hivyo kashaona Beki Gabriel lazma afosi kufunga ili amkere 😂🙌🏾Nipo brazil hivyo sina shida lazima tuwe vizuri ila jini likishafunga sipatikani tena 😁
Vaa chupi ya chuma.Nina maswali kwa mashabiki wa kombe la dunia na mpira wa miguu kwa ujumla, leo ninaenda kuangalia mpira wa miguu nje ya nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza;
- Vitu gani ambavyo sisi tunaokuja kuwapa kampani ila si mashabiki wa mpira mnapenda tusifanye?
- Vitu gani tukivifanya mnafurahia?
- Leo unashabikia timu gani na kwanini? mimi niko team 🇧🇷 (sina sababu maalum zaidi ya kwamba timu ya Brazil ina wachezaji weusi 😎)
- Kwenye half time niulize maswali gani ili nipate cha kuongelea kwenyekundi la mashabiki wa soka?
View attachment 3623385
Nakufuata kabisa sikuiti tu 😁Nyie ndio tunawavalia earphones 😂😂😂
Hiyo bato inarudi tena 😁Lile kuzuiw tabu na hivyo kashaona Beki Gabriel lazma afosi kufunga ili amkere 😂🙌🏾
Naisubiri kuiona 😂Hiyo bato inarudi tena 😁
Unasemaje kijana 😏?K kkk kk za kutosha, flani la mama ake 😄
Mi nataka mbishane ili nielewe vizuri kinachoendelea 😅Mi mechi ikiwa tafu sana hata kukaa na mtu ambaye hajui mpira vizuri alafu wanabishana huwa nakereka 😁 naona kama wananipigia kelele
Ni bora uangalie nyumbani tu, au nenda kwenye Bar ila kwenye vibanda umiza utakutana na matusi ambayo hujawahi kusikia 😁Mi nataka mbishane ili nielewe vizuri kinachoendelea 😅
Lazima kiungo pendwa kilindwe kwa hali na mali.Ili iweje?
View attachment 3623427