Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Daah sasa nikamuulize nani na wewe ndiyo mwenyeji wangu?sipendi kuulizwa huyo ni mchezaji gani?
Timu itakayo shinda ndo timu yangu acheni ujinga.
Huna marafiki au ndugu wanaopenda mpira? kama inawezekana anza kuangalia nao mechi.Natamani kweli nianze kufuatilia mpira, naona kama napitwa...
Ila sijui nianzie wapi kwa kweli.
Hizi world cup za kukesha usiku nazo sizielewi elewi.
Duh Bro wewe kama mimi nafatilia Afcon na World Cup tu sina zaidi. Yaani sijui mchezaji hata mmoja wa Yanga au Simbaπ€£Natamani kweli nianze kufuatilia mpira, naona kama napitwa...
Ila sijui nianzie wapi kwa kweli.
Hizi world cup za kukesha usiku nazo sizielewi elewi.
Hata mimi si mpenzi ila leo nitajaribu
MnakeraDaah sasa nikamuulize nani na wewe ndiyo mwenyeji wangu?
Mbona hasira hivyo na huwa mnatualika wenyewe???Mnakera
Hamna kitu napenda Kama nikae na mtu ambaye hajui mpira niwe namuelekeza mpaka aeleweku uliza uliza maswali wakati mpira unachezwa
Next time uje twende wote mpwa maana hakuna kitu najua ππHamna kitu napenda Kama nikae na mtu ambaye hajui mpira niwe namuelekeza mpaka aelewe
Huwa najiona dr Leakey
usiwaze nitakununulia na jezi kabisa ili ukitaka kushangilia timu pinzani ukumbuke umevaa jezi ya rangi ganiNext time uje twende wote mpwa maana hakuna kitu najua ππ
Mi kuna game huwa sipendi bugdha kabisa, nikiwa nacheki game ya Arsenal huwa sipendi shida hata simu huwa napokea ya wazazi, au simu ya najua hii itakuwa ya mchongo wa hela ila kama sio sipokei kabisa πHamna kitu napenda Kama nikae na mtu ambaye hajui mpira niwe namuelekeza mpaka aelewe
Huwa najiona dr Leakey
Ila kuna ka ukweli mambo ya kuulizana β mbona huyu anayewapa wenzake kadi hapewi pasiβ inakuwaga kipengeleMi kuna game huwa sipendi bugdha kabisa, nikiwa nacheki game ya Arsenal huwa sipendi shida hata simu huwa napokea ya wazazi, au simu ya najua hii itakuwa ya mchongo wa hela ila kama sio sipokei kabisa π