sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 3,334
- 7,651
Kadri mnavyomshawishi kusema tatizo ni nini ndio mnazidi kumuweka mbali na familia yake..
Muacheni atulize kichwa chake kwa sababu suluhu la tatizo la familia yake/mke wake yeye mwenyewe ndio anajua.. kwaiyo muacheni yeye ataamua.
Mshauri mke wa jamaa asiache kumsalimia na kumtakia afya njema kila wakati..
Je umechunguza hao watoto wao wanafanana na nani?