Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mkuu, mkewe ana stress mno.Umeng'ang'ania kujua sababu si ameshakwambia hakuna shida! inabidi utulize tu mshono afande!
Labda mke wake ANANUKA MDOMO!
Cc: Lamomy Kalpana binti kiziwi ChoiceVariable Lucas Mwashambwa Nyani Ngabu Poor Brain Extrovert
Hayo mambo Yao ya ndani mimi siyajui.....lakini tambua kuwa nje ya vifungo vya kiimani na kuiogopa hukumu ya mola wake..... mwanadamu hawezi kuishinda tamaa na vishawishi...... unaweza ukampikia mwanao pilau ili afaidi akakataa alafu unamkuta anagombania ugali na dagaa la chuku chuku nyumba ya jiraniNa yawezekana huyo mjomba wako hakuwa na muda na kwahiyo mke upwiru ukamzidia kaamua atafute huko wanaume hujifanya wao ndiyo wamuhimu sana hawajui kama na wanawake na wao huwa hitaji sana ila huvumilia tu!
Huenda pia maelezo ya mke yakawa na walakiñiWanawake wana siri kubwa. Mm nipo kwenye ndoa 20 years mkewangu akigusia suala la
1. uwezo wangu kule 6 x6 napata mshtuko kwamba labda siwajibiki
2. Wanaume waliomtaka..nahisi jambo.
3. Watoto wangu kama ni wangu kweli.
Hayo maeneo yako very sensitive mno.
Kwa sabab wanaume hatupendi dharau tunaamua kukaa kando.
Mke akikataa ushauri wako inauma sana na madhara yakitokea, utajisikia kama amekuona kum.a mwenzie.
Kuna wakati tunaamua kuwafira wanawake zetu ila kwa sababu ya karaha nadharau zao.
Nikimzibua mku.ndu basi hapo hata akifanya ujinga. Actually ufiraji dharU zaidi.
My take.
Huwez kusolve suala la ndoa, muache Samuel mwenyewe mme.
Mke..muulize amuambie siri labd ana siri na mumewe ameijua. Na kwa hakika hata thubutu kuitoa.
Hitimisho
Wanawake wanasiri nyingi hatuzijui,ukiojua unaweza umue
Kuna baadhi ya maovu yanachukua muda kupona na kuna mengine uponyaji wake unakutaka uwe mbali na aliyekusababishia.......na mengine suluhisho lake ni kutengana moja Kwa moja.....Duh! Hatari Sana hii, Kumbe unaweza mlaumu jamaa Kumbe mke Kuna vitu anaficha
Mzee, huwa tunajitia moyo tu, ila binafsi wife hayupo nyumbani mwezi wa 3 huu na kesi ya talaka iko mahakamani tar 12 mwezi huu(nimeshaleta uzi hapa), mzee toka wifw anyanyue mguu home, ofisini sales zimepanda hatari sana, mwez january huu nimejikuta nimefungua mradi wangu mwingine ambao hapo nyuma ukikua unakwama kwama sana, now unaenda vizuriiiii.Duh! Wee jamaa,mkeo anawezaje kua nuksi kwako?🤔
Duh! Kwaiyo ule msemo WA ndoa Ni baraka, Kuna MDA hauna maana🤔Mzee, huwa tunajitia moyo tu, ila binafsi wife hayupo nyumbani mwezi wa 3 huu na kesi ya talaka iko mahakamani tar 12 mwezi huu(nimeshaleta uzi hapa), mzee toka wifw anyanyue mguu home, ofisini sales zimepanda hatari sana, mwez january huu nimejikuta nimefungua mradi wangu mwingine ambao hapo nyuma ukikua unakwama kwama sana, now unaenda vizuriiiii.
KWakifupi naishi maisha flan yenye wepesi mnoo tofauti kabusa na hapo mwanzo.
Japo kuna muda nam miss sana ila kuondoka kwake naona waz kabisa kuna milango inafunguka kwq kasi sanaa
Sasa ndiyo uhame wakati umeheshimishwa.....nadhani kapata fununu, kaamua kwenda kupima DNA kakuta mkeka umechanika kwa watoto wote, ili kuepusha kifungo cha maisha ameamua kula unyoya kimyakimya.....
Kuna wanaume wameumbwa wakavu mkuu kutia huruma n mwiko au kuonyesha huzuni au kufunguka mambo Yao Kwa wat ambao wanajua hawawezi msaidia kitu zaidi yakwenda kuyatangaza tu...hata ww itakuwa ameona Haina maana kukueleza coz anasababu zake labda....kamwambia shemeji awe mpolee na atulize kiherehere vinginevyo mjubaa atasepaa mazimaaa 😄😄😄😄Aisee Kuna point hapa, japo jamaa namuona Yuko normal Sana, sio Kama ana stress Wala nini
Kuna watu ni gundu maishani mkuu, mkiachana unakuta quarrels zinaisha au kupunguaMzee, huwa tunajitia moyo tu, ila binafsi wife hayupo nyumbani mwezi wa 3 huu na kesi ya talaka iko mahakamani tar 12 mwezi huu(nimeshaleta uzi hapa), mzee toka wifw anyanyue mguu home, ofisini sales zimepanda hatari sana, mwez january huu nimejikuta nimefungua mradi wangu mwingine ambao hapo nyuma ukikua unakwama kwama sana, now unaenda vizuriiiii.
KWakifupi naishi maisha flan yenye wepesi mnoo tofauti kabusa na hapo mwanzo.
Japo kuna muda nam miss sana ila kuondoka kwake naona waz kabisa kuna milango inafunguka kwq kasi sanaa
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂Kuna wakati tunaamua kuwafira wanawake zetu ila kwa sababu ya karaha nadharau zao.
Nikimzibua mku.ndu basi hapo hata akifanya ujinga. Actually ufiraji dharU zaidi.
Kuna point hapo, kiukweli jamaa ni mkavu Kama Hana kilichotokea, juz TU hapa katoka kuwalipia wanae wote ada bila wasiwasi kabisa.Kuna wanaume wameumbwa wakavu mkuu kutia huruma n mwiko au kuonyesha huzuni au kufunguka mambo Yao Kwa wat ambao wanajua hawawezi msaidia kitu zaidi yakwenda kuyatangaza tu...hata ww itakuwa ameona Haina maana kukueleza coz anasababu zake labda....kamwambia shemeji awe mpolee na atulize kiherehere vinginevyo mjubaa atasepaa mazimaaa 😄😄😄😄
Mzee sio kila wakat na sio kwa kila mtu. Tunakutana na kuoana na watu ambao background check zao hatuna kiundani.Duh! Kwaiyo ule msemo WA ndoa Ni baraka, Kuna MDA hauna maana🤔