Nini Sababu: Mume amehama ghafla na kwenda kupanga bila ugomvi wala maelezo yoyote

Wanawake wengi wa sasa discipline ni zero mkuu.


Watajifunza maisha ya ndoa in hard way...
Walipotoka hao wanawake wasio na discipline na wanaume wametokea hapo hapo, je jiulize wanaume wanayo hiyo discipline kwa ndoa au anatakiwa afanye mke tu? Kuna Wanaume ni wahovyo mpaka unajiuliza hivi huyu ni mwanaume kweli au nikiungo tu kapachikwa?
 
Mithali : 21 : 19 - Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika; Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi.

Mithali : 25 : 24 - Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.

Japo hakuna anayejua nini kimetokea. Ila haya mambo yapo nimeyashuhudia na sababu kubwa ni pamoja na hiyo.
 
Biblia yenyewe imeruhusu mume kuishi darini kukwepa kelele za mwanamke
 

Huyu jamaa anapaswa Kuwa mwenyekiti wa wanaume Taifa, mwanamke wamemla; jamaa Kaumia sana, but He is very intelligent and too much in control; watu wa chache sana wana uwezo Kama wake!
 
Walipotoka hao wanawake wasio na discipline na wanaume wametokea hapo hapo, je jiulize wanaume wanayo hiyo discipline kwa ndoa au anatakiwa afanye mke tu? Kuna Wanaume ni wahovyo mpaka unajiuliza hivi huyu ni mwanaume kweli au nikiungo tu kapachikwa?
Mwanamke kalegezewa sana kwenye jamii kwa sasa....

Mambo ya haki sawa yanawafanya wanawake waone kama maisha ya ndoa ni sehemu ya luxury, kumbe ndoa ina majukumu mengi sana.
 
Kwahio pombe ni kama panadol tu
 
Mwanamke kalegezewa sana kwenye jamii kwa sasa....

Mambo ya haki sawa yanawafanya wanawake waone kama maisha ya ndoa ni sehemu ya luxury, kumbe ndoa ina majukumu mengi sana.
Umenikumbusha kisa Cha jirani yetu
Nikiwa Bado chalii mdogo Kuna mzee jirani alikuwa anafanya biashara sokoni na mke wake alikuwa mama wa nyumbani.
Siku moja mzee aliondoka nyumbani kama anaenda kufata mzigo pori yaani kabeba kabegi kadogo ka nguo, ila ndo ilikuwa moja kwa zote hakuja Tena nyumbani kwake ila kwenye biashara Kila siku yupo.
Baadae nilikuja pata stori kwa jamaa zake wa karibu kuwa mme alimkuta mke anatoa utamu live nyuma ya nyumba kwa kijana mdogo sana kiumri.
Juzi mke kafariki lakini hata msibani hakuudhuria
 
Kabisa maaana wanawake hawafichani mambo yao
 
Yupo kwenye "lunatic mode"!Mumuache.
 
Kama Kuna shida Si aseme, mi mbona sometimes tukivurugana na wife, anatusuluisha ndoa inaenda fresh?
Mengine hayasemeki. Imagine ugundue kuna muhuni anakugongea utamwambia mwamba hapo😂 au kakubambikia watoto.
 
Sababu ipo,kuna kitu huyo mwanamke kajisahau kwenye ndoa yake,naweka machache,unene uliopitiliza,uvivu,uchafu,ubishi,mambo ya kujipamba inawezekana hashindi nyumbani kutwa salon kujiremba,kuendekeza mandugu au marafiki kutwa wamejazana nyumbani,hayo ni mchache aangalie amebadilisha nini ambacho hakikiwepo zamani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…