Nini Sababu: Mume amehama ghafla na kwenda kupanga bila ugomvi wala maelezo yoyote

Wakuu,
Huyu jamaa ni jirani yangu haswa, yaani tunashare upande mmoja WA ukuta wa fensi,shughuli nyingi za kifamilia Huwa anashiriki vizuri Sana, migogoro pia anakuja kusuluhisa na kunishauri pia.

Japo Kwa ndoa yake niliamini Ni ndoa iliyokamilika haswa maana tangu miaka yote tuishi hapa sijawahi kusikia kagombana na mkewe Hata siku moja, hivyo Huwa nawaheshimu sn.

Kuna siku mkewe alileta malalamiko kwangu kua mmewe kahama nyumbani kwake ghafla,

Anasema siku ya mwisho kuonekana NYUMBANI, aliaga Kama kawaida anaenda kazini kwake asbh na MAPEMA na ndo hakurudi mazima mpaka Leo hii.

Anadai hakubeba chochote kile nyumbani, Kila kitu Kiko Kama kilivyo kua, hawajagombana na wala hajaambiwa kipi kamkosea.

Anadai Mume wake tangu ahame matumizi ya Kila siku anatoa vzur Ila haifiki kabisa nyumbani. anapewa boda ndo apeleke.

Anasema mumewe akipigiwa simu anapokea anadai atarudi TU Ila kavumilia Sana anaona haioni dalili yoyote ya mumewe kurudi nyumbani.

Anasema alishapeleleza Sana hadi kujua anapoishi, kaenda Sana pale (Hadi mida ya usiku sn) labda Kuna mwanamke anaishi nae pale Ila kathibitisha mumewe anaishi peke yake TU na haijawai kuleta mwanamke yeyote pale Hata siku moja.

Anasema keshapeleka kesi Kwa wazazi pande zote mbili, mumewe anadai hamna tatzo, Kuna mambo anayaweka sawa, yakikaa sawa atarudi nyumbani,wala Hana tatzo nae.

Kavumilia Sana Ila haoni dalili yoyote mumewe kurudi. Anadai keshapeleka kesi kanisani, mumewe alishaitwa Sana kagoma kwenda na Kuna siku kapigiwa kamtukana Hadi askofu.

Anasema ilivyofika miezi 3 haoni dalili yoyote akajaribu kwenda ustawi WA jamii kumfungulia kesi ya kutelekeza familia (labda atapata hofu ya serikali), mumewe alivotoka uko ndo kamchukia kabisa na kamblock kwenye mawasiliano yake yote na pesa za matumizi ya familia Kwa Sasa anachukulia ustawi WA jamii.

Jamaa nimejaribu kumdadisi tatzo Nini,hataki kabisa kufunguka, anadai hana tatzo lolote na mkewe, Kuna mambo yake kadhaa anayaweka sawa, punde tu atarejea home nisijali.

Kila mara nimejaribu kumkubushia mkewe anavoteseka kuukosa uwepo wake nyumbani, jamaa Wala haoneshi kujali, miezi 6 sasa inakatika, jamaa hana mahusiano yoyote nje, kuoa mke mwingine Wala Hana mpango wowote WA kurejea nyumbani kwake.

Watoto wao wote sahv wamerejea mashuleni, mkewe juzi kati kaumwa sn mpk kalazwa, jamaa kataarifiwa Ila katuma pesa TU Hata hajakanyaga hospital Wala kumpiga simu kumjulia hali.

Aliporuhusiwa ikabd ahamie kwangu mpk atakapokaa sawa maana watoto wao wote wamesharud mashuleni, jamaa nilimtaarifu Hilo ili atoe ruksa mkewe augulie kwangu, kasema sawa Haina shida. Ni Mwezi Sasa mkewe anashinda,kula na kulala nyumbani kwangu. Jamaa Hana Hata wasiwasi.

Juzi kati kanunua kiwanja nje ya mji, kaniita nimsainie Kama shahidi na kashaanza msingi anasema hapa ndo anajenga makazi yake mapya.

Namuuliza hii inamaanisha Nini khs hatma ya familia yake, anasema haihusiani kbs na familia yake, na Wala nisije thubutu kumwambia chochote mkewe khs hili suala TUTAGOMBANA. Nkamwambia sawa Haina shida.

Hebu wakuu,
Huenda mi sio nzur kwny mambo kusuluhisha migogoro ya ndoa za watu.

Najua humu mna mawazo mazur sn na wataalam tele WA ishu hizi za ndoa.

Hebu nipeni mawazo mawili matatu niweze kuinusuru hii ndoa ya Hawa jirani zangu.

Mkewe tangu jamaa ahame, saivi Kawa Kama kuchanganyikiwa , simuelewi elewi kabisa. Hata anachoumwa Hata hakieleweki, nahisi ni stress za ndoa zake.

Pia, KUISHI NA MKE WA MTU NYUMBANI KWANGU, KIUKWELI binafsi nijistukia kua kimaadili HAIKAI VIZURI kabisa.

Nawasilisha wakuu🙏
huyo ndyo mwanaume, wengi wanendelea kuishi nyumba moja but separate rooms, wanaendelea kuiigiza kama wanandoa
 
Maisha ya ndoa magumu sana, mimi mke wangu nikitoka tu anakwenda kwa bwana zake anashinda huko, ni kapambana nae sana kimyakimya lakini mambo yakawa magumu, siku niliyofanya maamuzi magumu kila mtu akashangaa.

Maranyingi sikutaka kuyaongea kwa mtu yeyote yule hivyo nikawa napambana mwenyewe, basi siku hiyo nikatoa taraka zikakataliwa hivyo wakataka kujua shida ipo wapi.

Kwa bahati nzuri walitaka kikao wafanye kwangu nilipopanga na walipokuja wakamtaka mama mwenye nyumba awepo nae ashiriki, nadhani kama kulikuwa na mawazo mabaya waliyafikiria ni kushirikisha mwenye nyumba.

Kumbe wakati sisi tupo mihangaikoni, watu wengi walikuwa wakimfuata mama mwenye nyumba na kumueleza kwamba yule mpangaji wako mkewe kila siku tunamuona guest, yaan afanye kila njia ajaribu kunipa taarifa mimi.

Sasa kama unavyojua mtu huwa mgumu kutoa taarifa za kimapenzi mbaya maana huwezi jua utakayemwambia atachukua uamuzi gani.

Hiyo siku nilikuja kujua mambo ya ajabu ssna, sasa ndio chukualia hali kama ile tunawatoto si ningemuachia nikaondoka nyumbani.

Hivyo haya mambo kukaa mbali mtu yanafaida kubwa sana, yanaepusha vingi sana
 
𝙼𝚊𝚛𝚊 𝚗𝚢𝚒𝚗𝚐𝚒 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚞𝚖𝚎 𝚝𝚞𝚗𝚊𝚟𝚞𝚖𝚒𝚕𝚒𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚢𝚊𝚕𝚒𝚢𝚘 𝚔𝚝𝚔 𝚗𝚍𝚘𝚊 𝚣𝚎𝚝𝚞 𝚙𝚊𝚜𝚒𝚙𝚘 𝚔𝚞𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚔𝚘𝚔𝚘𝚝𝚎 𝚔𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚊𝚖𝚒𝚗𝚒 𝚢𝚊𝚝𝚊𝚒𝚜𝚑𝚊, 𝚕𝚊𝚔𝚒𝚗𝚒 𝚢𝚊𝚔𝚒𝚣𝚒𝚍 𝚝𝚞𝚗𝚊𝚊𝚖𝚞𝚊 𝚔𝚞𝚝𝚊𝚏𝚞𝚝𝚊 𝚜𝚎𝚑𝚎𝚖 𝚝𝚞𝚕𝚒𝚟𝚞 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚙𝚞𝚖𝚣𝚒𝚔𝚊 𝚗𝚊 𝚖𝚊𝚛𝚊 𝚗𝚢𝚒𝚗𝚐𝚒 𝚑𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚋𝚊𝚕𝚒 𝚔𝚊𝚋𝚒𝚜𝚊 𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚣𝚎𝚝𝚞 𝚒𝚕𝚒 𝚔𝚞𝚎𝚙𝚞𝚜𝚑𝚊 𝚖𝚊𝚝𝚊𝚝𝚒𝚣𝚘 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚔𝚞𝚋𝚠𝚊.
𝙽𝙰𝙵𝙸𝙺𝙸𝚁𝙸 𝙷𝚄𝚈𝙾 𝙹𝙰𝙼𝙰𝙰 𝙰𝙻𝙸𝙿𝙸𝚃𝙸𝙰 𝙼𝙴𝙽𝙶𝙸 𝚂𝙰𝙽𝙰 𝙽𝙰 𝚂𝙸𝙳𝙷𝙰𝙽𝙸 𝙺𝙰𝙼𝙰 𝙸𝚃𝙰𝚃𝙾𝙺𝙴𝙰 𝚂𝙸𝙺𝚄 𝙰𝚃𝙰𝚂𝙴𝙼𝙰 𝙰𝙻𝙸𝚈𝙾𝙿𝙸𝚃𝙸𝙰 𝙽𝙰 𝙿𝙸𝙰 𝙺𝚄𝚁𝚄𝙳𝙸 𝙽𝚈𝚄𝙼𝙱𝙰𝙽𝙸 𝙽𝙸 𝙽𝙶𝚄𝙼𝚄 𝚂𝙰𝙽𝙰 𝚈𝙰𝙰𝙽 𝚂𝙸𝙳𝙷𝙰𝙽𝙸 𝙺𝙰𝙼𝙰 𝙸𝚃𝙰𝚃𝙾𝙺𝙴𝙰.
𝙸𝚕𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚗𝚒 𝚠𝚎𝚙𝚎𝚜𝚒 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚊𝚗𝚣𝚊 𝚙𝚞𝚛𝚞𝚔𝚞𝚜𝚑𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚝𝚔 𝚗𝚍𝚘𝚊 𝚗𝚊 𝚗𝚒 𝚠𝚎𝚙𝚎𝚜𝚒 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚝𝚒𝚊 𝚑𝚞𝚛𝚞𝚖𝚊 𝚗𝚓𝚎 𝚔𝚞𝚘𝚗𝚎𝚔𝚊𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚑𝚊𝚠𝚊𝚔𝚞𝚠𝚊𝚒 𝚔𝚞𝚔𝚘𝚜𝚎𝚊.
𝚄𝚂𝙷𝙰𝚄𝚁𝙸 𝚃𝚄, 𝙽𝙰𝙰𝙼𝙸𝙽𝙸 𝙼𝚃𝚄 /𝚆𝙰𝚃𝚄 𝙿𝙴𝙺𝙴𝙴 𝚆𝙰𝙽𝙰𝙾𝚆𝙴𝚉𝙰 𝙺𝚄𝙼𝚂𝙷𝙰𝚆𝙸𝚂𝙷𝙸 𝙽𝙸 𝚆𝙰𝚃𝙾𝚃𝙾 𝚆𝙰𝙺𝙴 𝚃𝙴𝙽𝙰 𝚆𝙴𝙽𝚈𝙴 𝙱𝚁𝙰𝙸𝙽 𝙽𝚉𝚄𝚁𝙸 .
 
Dini imefanyaje?usiendekeze dini ukafa kwa sonona,kuna vituhata Mungu anakuelewa kuwa hapa kweli ulikosa namna
Kuna kutofautiana malezi, ujue kuna wengine kwenye circle yao ya makuzi hawana kampani ya aina fulani ya watu ambao kidogo wana uhuni. Ujue ukiwa na wana ambao ni wahuni, kwenye situation kama hizo, huwaga wanaplay vizuri tu kukushauri. Sasa utakuta circle yake aliokuwa nao karibu tokea utoto ni design ya wale wanaojiita "wapendwa",hawajui kuchepuka.
 
Uko sahihi,mimi nimezaliwa familia yadini sema nilisoma peimary mnazi mmoja schoolmates akina maulidi kitenge na haji manara,ben kinyaiya,wanaoa kila siku saaa mimi mwanamke hawezi kuniletea ujinga,naacha mwezi unaofata naanzisha mahusiano mapya
 
Ogopa kuishi na mtu anayekuchekea tu, asiye jua kukasirika hata ukifanya kosa anakuangalia.Hao watu ni hatari yaani akifika mwisho ni amefika..
Jamaa alihitaji space,badala ya kumpa space unaendelea kumzonga.Kuna wakati mtu anakuwa anapitia mambo mengi na anahitaji mda wa kukaa peke yake.Mtu wa hivyo akihitaji nafasi ni vyema ukakae nae mbali ili ajitafakari vizuri unavyozidi kunzonga mara kanisani,mara ustawi mara wapi ndo unazidi kumvuruga kwa hapo nimpe pole bibie kama anadhani alikuwa anajenga basi ndo aliharibu hata kile kidogo kilichobakia.
Ushauri wangu tu mwambie huyo mwanamke ampe nafasi,andelee kumuomba Mungu na aombe toba kwa mambo yote aliyomfanyia na ikiwezekana aweze kubadili mawazo yake ili wakalee watoto.
Anaweza pia kuwa anamhusisha habari za watoto na namna nzuri ya kuwalea baadhi ya vitu vidogo vinavyoweza kumsogeza karibu.
Na wewe achana na mambo ya familia,hizi familia zina siri nyingi,ndoa nyingi zilishajifia imebaki maigizo.Unaweza ukaona barabarani watu wanachekeana kumbe nyumbani kila mtu anapika chakula chake ni hayo tu.
 
Mwanamke kalegezewa sana kwenye jamii kwa sasa....

Mambo ya haki sawa yanawafanya wanawake waone kama maisha ya ndoa ni sehemu ya luxury, kumbe ndoa ina majukumu mengi sana.
Ndoa ni ya watu wawili pale mwanamke anapobebeshwa majukumu mengi ndiyo anakuwa sugu nakuona kawaida tu hata akiondoka nitaishi mwenyewe.
 
Kadri mnavyomshawishi kusema tatizo ni nini ndio mnazidi kumuweka mbali na familia yake..
Muacheni atulize kichwa chake kwa sababu suluhu la tatizo la familia yake/mke wake yeye mwenyewe ndio anajua.. kwaiyo muacheni yeye ataamua.
Mshauri mke wa jamaa asiache kumsalimia na kumtakia afya njema kila wakati..
Je umechunguza hao watoto wao wanafanana na nani?
Wakifata huu ushauri unaweza kusaidia kwa namna moja
 
Wakuu,
Huyu jamaa ni jirani yangu haswa, yaani tunashare upande mmoja WA ukuta wa fensi,shughuli nyingi za kifamilia Huwa anashiriki vizuri Sana, migogoro pia anakuja kusuluhisa na kunishauri pia.

Japo Kwa ndoa yake niliamini Ni ndoa iliyokamilika haswa maana tangu miaka yote tuishi hapa sijawahi kusikia kagombana na mkewe Hata siku moja, hivyo Huwa nawaheshimu sn.

Kuna siku mkewe alileta malalamiko kwangu kua mmewe kahama nyumbani kwake ghafla,

Anasema siku ya mwisho kuonekana NYUMBANI, aliaga Kama kawaida anaenda kazini kwake asbh na MAPEMA na ndo hakurudi mazima mpaka Leo hii.

Anadai hakubeba chochote kile nyumbani, Kila kitu Kiko Kama kilivyo kua, hawajagombana na wala hajaambiwa kipi kamkosea.

Anadai Mume wake tangu ahame matumizi ya Kila siku anatoa vzur Ila haifiki kabisa nyumbani. anapewa boda ndo apeleke.

Anasema mumewe akipigiwa simu anapokea anadai atarudi TU Ila kavumilia Sana anaona haioni dalili yoyote ya mumewe kurudi nyumbani.

Anasema alishapeleleza Sana hadi kujua anapoishi, kaenda Sana pale (Hadi mida ya usiku sn) labda Kuna mwanamke anaishi nae pale Ila kathibitisha mumewe anaishi peke yake TU na haijawai kuleta mwanamke yeyote pale Hata siku moja.

Anasema keshapeleka kesi Kwa wazazi pande zote mbili, mumewe anadai hamna tatzo, Kuna mambo anayaweka sawa, yakikaa sawa atarudi nyumbani,wala Hana tatzo nae.

Kavumilia Sana Ila haoni dalili yoyote mumewe kurudi. Anadai keshapeleka kesi kanisani, mumewe alishaitwa Sana kagoma kwenda na Kuna siku kapigiwa kamtukana Hadi askofu.

Anasema ilivyofika miezi 3 haoni dalili yoyote akajaribu kwenda ustawi WA jamii kumfungulia kesi ya kutelekeza familia (labda atapata hofu ya serikali), mumewe alivotoka uko ndo kamchukia kabisa na kamblock kwenye mawasiliano yake yote na pesa za matumizi ya familia Kwa Sasa anachukulia ustawi WA jamii.

Jamaa nimejaribu kumdadisi tatzo Nini,hataki kabisa kufunguka, anadai hana tatzo lolote na mkewe, Kuna mambo yake kadhaa anayaweka sawa, punde tu atarejea home nisijali.

Kila mara nimejaribu kumkubushia mkewe anavoteseka kuukosa uwepo wake nyumbani, jamaa Wala haoneshi kujali, miezi 6 sasa inakatika, jamaa hana mahusiano yoyote nje, kuoa mke mwingine Wala Hana mpango wowote WA kurejea nyumbani kwake.

Watoto wao wote sahv wamerejea mashuleni, mkewe juzi kati kaumwa sn mpk kalazwa, jamaa kataarifiwa Ila katuma pesa TU Hata hajakanyaga hospital Wala kumpiga simu kumjulia hali.

Aliporuhusiwa ikabd ahamie kwangu mpk atakapokaa sawa maana watoto wao wote wamesharud mashuleni, jamaa nilimtaarifu Hilo ili atoe ruksa mkewe augulie kwangu, kasema sawa Haina shida. Ni Mwezi Sasa mkewe anashinda,kula na kulala nyumbani kwangu. Jamaa Hana Hata wasiwasi.

Juzi kati kanunua kiwanja nje ya mji, kaniita nimsainie Kama shahidi na kashaanza msingi anasema hapa ndo anajenga makazi yake mapya.

Namuuliza hii inamaanisha Nini khs hatma ya familia yake, anasema haihusiani kbs na familia yake, na Wala nisije thubutu kumwambia chochote mkewe khs hili suala TUTAGOMBANA. Nkamwambia sawa Haina shida.

Hebu wakuu,
Huenda mi sio nzur kwny mambo kusuluhisha migogoro ya ndoa za watu.

Najua humu mna mawazo mazur sn na wataalam tele WA ishu hizi za ndoa.

Hebu nipeni mawazo mawili matatu niweze kuinusuru hii ndoa ya Hawa jirani zangu.

Mkewe tangu jamaa ahame, saivi Kawa Kama kuchanganyikiwa , simuelewi elewi kabisa. Hata anachoumwa Hata hakieleweki, nahisi ni stress za ndoa zake.

Pia, KUISHI NA MKE WA MTU NYUMBANI KWANGU, KIUKWELI binafsi nijistukia kua kimaadili HAIKAI VIZURI kabisa.

Nawasilisha wakuu🙏
Hapo ni maombi Tu sioni kama kuna maajabu,maana kumlazimisha Mtu asiyetaka kitu au Jambo ni kazi Sana
 
Kuna issue nyingine hapa wazee wenzangu mnaweza ielewa..
Kuna issue unakuta mzee kaenda kachapa nje au ana mpango wa kando alafu kuna ile inakuja rumours kua mchepuko ama alipoingia peku kaathirika na VVU,ili kuepusha shari home na kumlinda bi mkubwa na familia yake kwa ujumla lazima uhame home kidogo wakati unasikilizia vipimo.....mara paaap miezi 9 mwamba huyu hapa karudi kwake baada ya kujihakikishia yupo gud

Case kama hii hata upigwe mawe husemi...

Mfano hai..

Kuna mwamba kafunga ndoa vizuri,kutimba home mke anataka wapime VVU..,mwamba kila aki zoom makando kando anaona kabisa hatoboi,ikabidi alaze home,kajitafutia kisafari cha gafla katokomea mkoa mwingine,siku hiyo akajitia BALIMI za kutosha akajipima kimagumashi akatoboa ndo kupata nguvu ya kwenda kupima kabisa hosp napo akatoboa tena ndo akapata nguvu ya kurudi home na kupima na bi mkubwa..
Alhamdulilah ndo imeshamiri wanaendelea vizuri na makando kando kapunguza kama 90% hivi.
 
Wakuu,
Huyu jamaa ni jirani yangu haswa, yaani tunashare upande mmoja WA ukuta wa fensi,shughuli nyingi za kifamilia Huwa anashiriki vizuri Sana, migogoro pia anakuja kusuluhisa na kunishauri pia.

Japo Kwa ndoa yake niliamini Ni ndoa iliyokamilika haswa maana tangu miaka yote tuishi hapa sijawahi kusikia kagombana na mkewe Hata siku moja, hivyo Huwa nawaheshimu sn.

Kuna siku mkewe alileta malalamiko kwangu kua mmewe kahama nyumbani kwake ghafla,

Anasema siku ya mwisho kuonekana NYUMBANI, aliaga Kama kawaida anaenda kazini kwake asbh na MAPEMA na ndo hakurudi mazima mpaka Leo hii.

Anadai hakubeba chochote kile nyumbani, Kila kitu Kiko Kama kilivyo kua, hawajagombana na wala hajaambiwa kipi kamkosea.

Anadai Mume wake tangu ahame matumizi ya Kila siku anatoa vzur Ila haifiki kabisa nyumbani. anapewa boda ndo apeleke.

Anasema mumewe akipigiwa simu anapokea anadai atarudi TU Ila kavumilia Sana anaona haioni dalili yoyote ya mumewe kurudi nyumbani.

Anasema alishapeleleza Sana hadi kujua anapoishi, kaenda Sana pale (Hadi mida ya usiku sn) labda Kuna mwanamke anaishi nae pale Ila kathibitisha mumewe anaishi peke yake TU na haijawai kuleta mwanamke yeyote pale Hata siku moja.

Anasema keshapeleka kesi Kwa wazazi pande zote mbili, mumewe anadai hamna tatzo, Kuna mambo anayaweka sawa, yakikaa sawa atarudi nyumbani,wala Hana tatzo nae.

Kavumilia Sana Ila haoni dalili yoyote mumewe kurudi. Anadai keshapeleka kesi kanisani, mumewe alishaitwa Sana kagoma kwenda na Kuna siku kapigiwa kamtukana Hadi askofu.

Anasema ilivyofika miezi 3 haoni dalili yoyote akajaribu kwenda ustawi WA jamii kumfungulia kesi ya kutelekeza familia (labda atapata hofu ya serikali), mumewe alivotoka uko ndo kamchukia kabisa na kamblock kwenye mawasiliano yake yote na pesa za matumizi ya familia Kwa Sasa anachukulia ustawi WA jamii.

Jamaa nimejaribu kumdadisi tatzo Nini,hataki kabisa kufunguka, anadai hana tatzo lolote na mkewe, Kuna mambo yake kadhaa anayaweka sawa, punde tu atarejea home nisijali.

Kila mara nimejaribu kumkubushia mkewe anavoteseka kuukosa uwepo wake nyumbani, jamaa Wala haoneshi kujali, miezi 6 sasa inakatika, jamaa hana mahusiano yoyote nje, kuoa mke mwingine Wala Hana mpango wowote WA kurejea nyumbani kwake.

Watoto wao wote sahv wamerejea mashuleni, mkewe juzi kati kaumwa sn mpk kalazwa, jamaa kataarifiwa Ila katuma pesa TU Hata hajakanyaga hospital Wala kumpiga simu kumjulia hali.

Aliporuhusiwa ikabd ahamie kwangu mpk atakapokaa sawa maana watoto wao wote wamesharud mashuleni, jamaa nilimtaarifu Hilo ili atoe ruksa mkewe augulie kwangu, kasema sawa Haina shida. Ni Mwezi Sasa mkewe anashinda,kula na kulala nyumbani kwangu. Jamaa Hana Hata wasiwasi.

Juzi kati kanunua kiwanja nje ya mji, kaniita nimsainie Kama shahidi na kashaanza msingi anasema hapa ndo anajenga makazi yake mapya.

Namuuliza hii inamaanisha Nini khs hatma ya familia yake, anasema haihusiani kbs na familia yake, na Wala nisije thubutu kumwambia chochote mkewe khs hili suala TUTAGOMBANA. Nkamwambia sawa Haina shida.

Hebu wakuu,
Huenda mi sio nzur kwny mambo kusuluhisha migogoro ya ndoa za watu.

Najua humu mna mawazo mazur sn na wataalam tele WA ishu hizi za ndoa.

Hebu nipeni mawazo mawili matatu niweze kuinusuru hii ndoa ya Hawa jirani zangu.
We una mke?
 
Huko anapokaa hajawahi kwenda mwanamke sawa; mwanaume je??

Dunia imechafuka hii mtu anaweza kuwa kagundua alikosea kuoa alipaswa kuolewa kaona awe tu mkweli kwa nafsi yake…
 
Mbona nimeshawaambia kuna mambo nayaweka sawa jirani? Mnataka niwape jibu gani? Wife pesa ya matumizi nilikuwa namtumia, amenishtaki sahivi anachukulia ustawi wa jamii. Halafu unazingua kinoma hiyo ishu ya mimi kujenga sehemu nyingine sikutaka hata jf uilete jirani
 
Shida yako nn sasa mbona usemi mke wako kaumwa ujaja hata kumuona.
 
Back
Top Bottom